Jamani Mtaani Ni Kugumu, omba yasikukute!

Mfumo mbovu Wa elimu ulioasisiwa na viongozi Wa nchi hii ccm na genge lake .....

Ndio unawatesa sasa hivi wananchi.....

Rais mwenyewe ajawai kujiajiri...

Waziri mkuu,mawaziri na wakuu wa mikoa hivyo hivyo........

Alafu Leo unatoka kutwambia eti watu wajiajiri "Who are u?..

Mimi kiongozi anayeweza kuniambia nijiajiri labda ni Trump pekee lakini hawa Uchwara Wa afrika ni waongo na wanafiki.......
 
na hata kama waliwahi kujiajiri hawajawahi kupata mafanikio yoyote kulinganisha na waliyoyapaya baada ya ajira rasmi.
 
me nashangaa juz juz kwenye runinga namuona mweshmiwa flani wa kinondoni ety anawasihi vijana wajiajiri
yeye kapata hyo nafasi kwa kupewa anaanza kejeri

kwanini yeye ambaye ameshapata mtaji asiende kujiajiri hiyo nafasi akaachia wengine ambao hawajapata mitaji ili wajiajiri..?
 
Wewe baada ya kujiangalia wewe na maisha yako,unaanza kumlalamikia aliyekuambia ujiajri.Nenda basi kilombero utapata kazi ya kupalamiwa.
 
Ngoja Mnyooshwe Mpaka Akili Za Kudeki Barabarani Ziwatoke
Mkuu MBONA MIMI CCM Damu Damu refer hata post ZANGU za nyuma uki review utaona jinsi navoipenda CCM Ila na mimi Hali mbaya nasubiri AJIRA na sipati HELA pia Hamna.. Sa MBONA nanyoshwa na sikudeki barabara
 
5ef241cebce2e099b1f4ef8889e90e88.jpg
 
Mfumo mbovu Wa elimu ulioasisiwa na viongozi Wa nchi hii ccm na genge lake .....

Ndio unawatesa sasa hivi wananchi.....

Rais mwenyewe ajawai kujiajiri...

Waziri mkuu,mawaziri na wakuu wa mikoa hivyo hivyo........

Alafu Leo unatoka kutwambia eti watu wajiajiri "Who are u?..

Mimi kiongozi anayeweza kuniambia nijiajiri labda ni Trump pekee lakini hawa Uchwara Wa afrika ni waongo na wanafiki.......
Ntaisoma namba kumnyima kura za kutisha Lowassa..angesambaratisha kabisa huo mfumo uliopo..Ndo maana Trump kakomaa kuuzika mfumo kibwanyenye watu wachache na familia,marafiki , washirika,wajukuu mpaka vining'ina vyao kujimilikisha keki yaTaifa...kweli nchi hujengwa na wenye moyo ila inaliwa na wenye meno..
 
kwakwel nimekaa kimya mda mrefu ila uvumilivu umenishinda!
kuna watu wao walishapata Mungu kawajaria lkn wanadharau sana hususa ni kwa vjana wanaosubiri ajira!
kuna watu hawana hata aya wao wameajiriwa lakin wanawakejeri wenzao ety wakajiajiri waache utumwa wa kutegemea ajira!

sasa mi niwambie ukweli mtu unamaliza chuo huna hata pa kuanzia hata hela hakuna mtaani ndo kabisa tunafanya shughuli sawa na STD VII, sometime ukizubaa huyo huyo STD VII ndo anakupa kibarua
sasa najiuliza hao wanaosema tukajiajiri kwann wasitupe mitaji walau tuwe wajasiliamari?

acheni unafki MUNGU YUPO MJUE

DC Happi anasema kuajiriwa ni utumwa lakini bado na yeye yupo kwenye ajira ila wengine wakajiajiri!? Hekaya za Abunwasi!
 
DC Happi anasema kuajiriwa ni utumwa lakini bado na yeye yupo kwenye ajira ila wengine wakajiajiri!? Hekaya za Abunwasi!

Kwa sisi wakristo huyo Happi ni kama viongozi wa mafarisayo, wao wanawaonyesha wenzao mizigo ambayo hawathubutu kuibeba.
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Yule nae wa ajabu kweli.

Yeye kupewa u-DC ndio ajira yake halafu anasema watu wajiajiri wakati yeye hana hata genge la kuuza mchicha.

Yaani hawa wa vyeo vya kupewa huwa wanakera kweli.

me nashangaa juz juz kwenye runinga namuona mweshmiwa flani wa kinondoni ety anawasihi vijana wajiajiri
yeye kapata hyo nafasi kwa kupewa anaanza kejeri

kwanini yeye ambaye ameshapata mtaji asiende kujiajiri hiyo nafasi akaachia wengine ambao hawajapata mitaji ili wajiajiri..?
 
Mkuu unakosea Monaco Fanya Nazi ni uwezo ulonao na si elimu ulonayo sasa unapo sema mtu wa darasa la 7 kukupa kazi ya kufanya ni sawa na kujizalilisha si jema kabisa na ukiendelea hivyo utakufa masikini na haliyakwamba una elimu yako ya darasani
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom