Jamani msiwaaibishe waume zenu hivi hata kama wamewatenda:

mwanza1969

Member
Aug 13, 2012
6
0
Jamani hata kama wametutenda tusiwaaibishe hivi waume zetu
 
Attachments

  • dunia.jpg
    dunia.jpg
    12.7 KB · Views: 213
Ni kweli si jambo jema kudhalilishana kwa namna hii, lakini hapa ilikuwaje mwanaume mtu mzima mwenye familia yake apige picha za namna hii? Lengo lake lilikuwa ni nini? Na sasa hapa ni nani mwenye makosa? Yeye aliyepiga picha au huyo aliyeitoa hiyo picha?
Mara nyingi huwa naona wanawake wanaojiuza mitandaoni ndiyo hupiga picha za namna hii kutafuta wateja, ila nimestaajabu kuona huyo mume wa mtu naye anapiga picha za namna hii, huku ni kujidhalilisha mwenyewe, lol!
 
nan kamdhalilisha nan?
kwa akil zako timamu kabsa pasi na kuvunja kifungu chochote cha 64 umeamua kufikiri kafanya ivo kwa sababu ya mwanamke?ili amdhalilishe?

mbna pcha inaonekana kbsa the kibabu is mad....ana strp kwa raha zake?
au ilimarad tu umhusishe mwanamke kwenye janaba ili?
y usingesema tusijidhalilishe wanaume....?
u seems 2b infirior...cheap thinker n kid in mind......

WE MAGAMBA?
ndo wana swaga izi za kutokubali pilau liitwe pilau....:wacko:
 
Mi nimeshajua shida yake... njoo nikwambie
 
Hata sisi wanaume, tuwapendini wake zetu. Tuwaheshimu na kuwathamini.
Kumbuka, mke wako ni dada wa mwenzako. Kibaya utakachomfanyia, ndio hichohicho atakacho fanyiwa dada yako.
Na kizuri utakacho mfanyia mkeo, ndicho atachofanyiwa dada yako
 
Umenena vyema mkuu Bujibuji!!!
 
nan kamdhalilisha nan?
kwa akil zako timamu kabsa pasi na kuvunja kifungu chochote cha 64 umeamua kufikiri kafanya ivo kwa sababu ya mwanamke?ili amdhalilishe?

mbna pcha inaonekana kbsa the kibabu is mad....ana strp kwa raha zake?
au ilimarad tu umhusishe mwanamke kwenye janaba ili?
y usingesema tusijidhalilishe wanaume....?
u seems 2b infirior...cheap thinker n kid in mind......

WE MAGAMBA?
ndo wana swaga izi za kutokubali pilau liitwe pilau....:wacko:
sasa ndo umkonyeze.
 
Back
Top Bottom