ma2mbo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 697
- 326
Kumbe bora kuwa lecturer??
Nataka kufundisha jamani
chezea Gpa wewe!
Kumbe bora kuwa lecturer??
Nataka kufundisha jamani
Uko correct kabisa mkuu,, jamaa yangu ni mdau pale UDSM hii 1.6 to 2.3 ni kwa assistant lecturer, lecturer wanakula kuanzia 2,352,000 to the max of 2.7 million kwenye rank hiyo
sasa 1.6M na masters yangu nafanya nini kama cashier wangu tu namlipa 1.75 na hana hata hiyo masters akipata ntampa ngapi?
teh teh teh, sure???
Kumbe nachakaaa kwenye mamiradi haya eee!!!?? ngoja
Jamani eee Asanten sana
Izo figure kuna nyongeza za vitu kama house na transport allowance au vimejumuishwa humo humo na je ni kabla au baada ya makato?
Wana JF,
Habarini za asubuhi, naombeni kuwauliza kwa anayefahamu mshahara wa kuanzia kwa position ya Assistant Lecturer kuanzia ni sh ngapi? for both public and private Universities
Pia Lecturer kuanzia kazi ni pesa ngapi!?
Asanteni