Most of them wanacheza kwenye 1.5 kwa ufupi ni kuanzia 1.3-1.8 hiyo ni bila makato yoyote. Mfano kama sikosei KIU ni kati ya usd 800-1000 hiyo ni kwa Assistant L, tumaini ni 1.5 hivi na SUT pia ni 1.5 kwa mara ya mwisho nilikuwa najua hivyo but I'm not 100% sure.
apply, do interview, itwa kazini, soma mkataba, kama figure haikuvutii usisaini full stop!!
sio jibu kwa swali la mheshimiwa...
inasemekana kwenye public universities kwa mwaka jana ilikuwa PUTS2 na PUTS3 kuanzia 1,482,800 mpaka 2,078,100
na sasa mshahara mpya (bado ina utata) ni kuanzia 1,646,000 mpaka 2,308,000
Ass. Lecturer ama ni Tutor
Nimependa majibu yenu, kwa uhalisia wake yote ni majibuHata hili lako co jibu.
Tutor!!!!!!!!!!!!!!!!!
Uko correct kabisa mkuu,, jamaa yangu ni mdau pale UDSM hii 1.6 to 2.3 ni kwa assistant lecturer, lecturer wanakula kuanzia 2,352,000 to the max of 2.7 million kwenye rank hiyoinasemekana kwenye public universities kwa mwaka jana ilikuwa PUTS2 na PUTS3 kuanzia 1,482,800 mpaka 2,078,100
na sasa mshahara mpya (bado ina utata) ni kuanzia 1,646,000 mpaka 2,308,000