Jamani msaada, ninakufa

GlorytoGod

Senior Member
Sep 8, 2012
158
50
Heshima kwenu wanajamvi,

kiukweli mimi ninashida nilikua ninaumwa fangasi kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri ninachomshukur mungu ni kuwa nimepona baada yakutumia madawa mengi sana ikiwemo tiba za asili baada ya kuona hizi za kizungu hazinisaidii tena, ila tatizo ni kuwa toka jana kuna uchafu unanitoka huku sehemu za siri yaani unakuta chupi imechafuka kama rangi ya brown unaambatana na ute kama wa yai ila ni mzito kuliko ule wa yai (mucus) na huo uchafu ukishatoka kama ni asubuhi haut0ki tena na nikijicheki sehemu za siri sioni kama kuna uchafu wowote kwa nje, naombeni msaada jamani linaweza kuwa ni tatizo gani jamani nimeteseka sana na haya magonjwa yasiyoisha,ninatanguliza shukrani zangu za dhati
 
Jamani my dear, pole sana! I can imagine how you feel! Ngoja waje wataalam wakuelekeze! Pole sana, yana mwisho!
 
Heshima kwenu wanajamvi,

kiukweli mimi ninashida nilikua ninaumwa fangasi kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri ninachomshukur mungu ni kuwa nimepona baada yakutumia madawa mengi sana ikiwemo tiba za asili baada ya kuona hizi za kizungu hazinisaidii tena, ila tatizo ni kuwa toka jana kuna uchafu unanitoka huku sehemu za siri yaani unakuta chupi imechafuka kama rangi ya udongo co sana na huo uchafu ukishatoka kama ni asubuhi haut0ki tena na nikijicheki sehemu za siri sioni kama kuna uchafu wowote kwa nje, naombeni msaada jamani linaweza kuwa ni tatizo gani jamani nimeteseka sana na haya magonjwa yasiyoisha,ninatanguliza shukrani zangu za dhati

Wewe Una PID ni vizuri uende hospital Usidhani ni wewe peke yako unaeugua hivo-Ili uweze kupona fungus mbali na kutumia dawa
1.Angalau badili nguo za ndani kila siku.
2.Nguo za ndani ziwe za Cotton achana na fashens.
3.Piga pasi mashuka,taulo,nguo za ndani.
4.Usivae nguo zenye unyevunyevu.
 
wewe una pid ni vizuri uende hospital usidhani ni wewe peke yako unaeugua hivo-ili uweze kupona fungus mbali na kutumia dawa
1.angalau badili nguo za ndani kila siku.
2.nguo za ndani ziwe za cotton achana na fashens.
3.piga pasi mashuka,taulo,nguo za ndani.
4.usivae nguo zenye unyevunyevu.

mkuu nashukuru sana kwa ushauri wako ila hiyo pid ndiyo nini tena mkuu, tusaidiane tu ndugu maana hali sio hali
 
Mkuu hapo dawa yaweza kuwa ni ipi? Maana napata shida sana na haya magonjwa yasiyoisha
 
Ingawa kuna ugumu fulani katika hili maana hujasema jinsia yako(wanaume hawapati PID).However,I have somthing to share with you.

Wanawake:
Kutokwa uchafu/majimaji yasiyo ya kawaida sehemu ya siri yanasababishwa na vitu kadhaa. Ni bahati mbaya sana watu wengi hufikiria zaidi juu ya fungus na zinaa,ambapapo mara kadhaa huwa si kweli. Ila kuna vitu ambavyo akina dada/mama hufanya(kwa nia njema tu) ila vinakuwa na madhara kiafya. Kwa mfano,kuna akina dada/mama ambao hudhani kwamba majimaji yoyote yanayotoka huko chini ni uchafu.So,wanapoingia bafuni hutumia sabuni kujisafisha hadi ndani. Hii ni hatari. Kwa jinsi mazingira yale yalivyo unyevu unyevu unasaidia kutunza ngozi na kurutubisha ulinzi ktk sehemu ile.

Lakini pia kuna wengine henda mbali zaidi.Hawa hufikia wakati wanafukiza perfumes ndani. Hii sio sahihi,kwani kwa kufanya hivyo inapunguza ulinzi ulipo pahala pale.Kupungua ulinzi mzingira hayo,huvutia viini vya magonjwa na hata vingine ambayo,kwa asili yake vinakuwa vinaishi pale bila shida,hubadilika na kuanza kuathiri sehemu ile.Matokeo yake sehemu ile huanza kuonyesha hali tofauti kama vile muwasho na kuvuja maji mengi.

Kwa bahati mbaya sasa,kwa kuwa wengi wetu huwa tunawaza zaidi fungus na zinaa,tunaanza kutumia dawa za zinaa na fungus. Matokeo yake ugonjwa unazidi kukua na kwa kuwa mgonjwa hajajua sababu ya tatizo lake,ataendelea na ile tabia yake hatarishi-maana uchafu ndio unazidi,naye anaendelea kujisafisha kama kawaida yake! Tatizo linapozidi kukua mgonjwa anaanza kubadilisha dawa kila kukicha. Hapo ndipo utamsikia mtu analalamika:'fungus za kudumu','nimetumia dawa zote lakini sijapona',madaktari wameshindwa',kuna mkono wa mtu',nk. Lakini kiukweli tatizo lake lina kuwa sio la dawa za kumeza wala kupaka,tatizo lake ni la kubadili mfumo wa kimaisha.

Nikumbushie kusema kwamba ukiona unatumia dawa kwa tatizo fulani bila kupona,ujue kuna tatizo somewhwere. Tulia ujichunguze kwanza lifestyle yako,mara nyingi utagundua kuna visababishi vingine ambavyo havijafanyiwa kazi.

Anyway,usikate tamaa tatizo lako litakwisha tu siku likipata tiba sahihi.
 
ingawa kuna ugumu fulani katika hili maana hujasema jinsia yako(wanaume hawapati pid).however,i have somthing to share with you.

Wanawake:
Kutokwa uchafu/majimaji yasiyo ya kawaida sehemu ya siri yanasababishwa na vitu kadhaa. Ni bahati mbaya sana watu wengi hufikiria zaidi juu ya fungus na zinaa,ambapapo mara kadhaa huwa si kweli. Ila kuna vitu ambavyo akina dada/mama hufanya(kwa nia njema tu) ila vinakuwa na madhara kiafya. Kwa mfano,kuna akina dada/mama ambao hudhani kwamba majimaji yoyote yanayotoka huko chini ni uchafu.so,wanapoingia bafuni hutumia sabuni kujisafisha hadi ndani. Hii ni hatari. Kwa jinsi mazingira yale yalivyo unyevu unyevu unasaidia kutunza ngozi na kurutubisha ulinzi ktk sehemu ile.

Lakini pia kuna wengine henda mbali zaidi.hawa hufikia wakati wanafukiza perfumes ndani. Hii sio sahihi,kwani kwa kufanya hivyo inapunguza ulinzi ulipo pahala pale.kupungua ulinzi mzingira hayo,huvutia viini vya magonjwa na hata vingine ambayo,kwa asili yake vinakuwa vinaishi pale bila shida,hubadilika na kuanza kuathiri sehemu ile.matokeo yake sehemu ile huanza kuonyesha hali tofauti kama vile muwasho na kuvuja maji mengi.

Kwa bahati mbaya sasa,kwa kuwa wengi wetu huwa tunawaza zaidi fungus na zinaa,tunaanza kutumia dawa za zinaa na fungus. Matokeo yake ugonjwa unazidi kukua na kwa kuwa mgonjwa hajajua sababu ya tatizo lake,ataendelea na ile tabia yake hatarishi-maana uchafu ndio unazidi,naye anaendelea kujisafisha kama kawaida yake! Tatizo linapozidi kukua mgonjwa anaanza kubadilisha dawa kila kukicha. Hapo ndipo utamsikia mtu analalamika:'fungus za kudumu','nimetumia dawa zote lakini sijapona',madaktari wameshindwa',kuna mkono wa mtu',nk. Lakini kiukweli tatizo lake lina kuwa sio la dawa za kumeza wala kupaka,tatizo lake ni la kubadili mfumo wa kimaisha.

Nikumbushie kusema kwamba ukiona unatumia dawa kwa tatizo fulani bila kupona,ujue kuna tatizo somewhwere. Tulia ujichunguze kwanza lifestyle yako,mara nyingi utagundua kuna visababishi vingine ambavyo havijafanyiwa kazi.

Anyway,usikate tamaa tatizo lako litakwisha tu siku likipata tiba sahihi.

mkuu mimi mwanamke
 
Wewe Una PID ni vizuri uende hospital Usidhani ni wewe peke yako unaeugua hivo-Ili uweze kupona fungus mbali na kutumia dawa
1.Angalau badili nguo za ndani kila siku.
2.Nguo za ndani ziwe za Cotton achana na fashens.
3.Piga pasi mashuka,taulo,nguo za ndani.
4.Usivae nguo zenye unyevunyevu.
Pekundu hapooo, tena zisiwe za kubana, ni vyema ukashona chupi ya batiki yenye kuingiza hewa kirahisi
 
Pekundu hapooo, tena zisiwe za kubana, ni vyema ukashona chupi ya batiki yenye kuingiza hewa kirahisi

Du kama zipo za batiki kuliko kuendelea kuteseka hivi mkuu bora nikapange foleni kwa fundi wangu, maana yawezakuwa ndio solution
 
mkuu mimi mwanamke

Kama umetumia sana dawa na hazijakusaidia,basi tatizo lako bado hujatambua kisababishi kama nilivyosema awali. Kuendelea kutumia dawa mi naona utazidi kuongeza tatizo. Ushauri wangu ni kwamba jaribu kujichunguza lifestyle yako hasa unapokuwa bafuni. Unaweza ukakuta tatizo lako hata halihitaji dawa.
 
Mkuu kiukweli hata nikiwa bafuni ninaoga tu kawaida na kama ni k yangu ninaisafisha tu vizuri sifanyi douching wala cha nini labda baadhi ya chupi nizibadilishe, ila pia tatizo hilo ya kutokwa na huo ute kama wa yai ila ni mzito zaidi ya ule wa yai hapo pia nashindwa kuelewa nini shida japokuwa unatoka siku moja moja sana
 
Heshima kwenu wanajamvi,

kiukweli mimi ninashida nilikua ninaumwa fangasi kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri ninachomshukur mungu ni kuwa nimepona baada yakutumia madawa mengi sana ikiwemo tiba za asili baada ya kuona hizi za kizungu hazinisaidii tena, ila tatizo ni kuwa toka jana kuna uchafu unanitoka huku sehemu za siri yaani unakuta chupi imechafuka kama rangi ya brown unaambatana na ute kama wa yai ila ni mzito kuliko ule wa yai (mucus) na huo uchafu ukishatoka kama ni asubuhi haut0ki tena na nikijicheki sehemu za siri sioni kama kuna uchafu wowote kwa nje, naombeni msaada jamani linaweza kuwa ni tatizo gani jamani nimeteseka sana na haya magonjwa yasiyoisha,ninatanguliza shukrani zangu za dhati
Nidawa gani ya Kienyeji ya Fangasi uliotumia Sis???
Tusaidie nasi wenye tatizo kama lako plizzz.
 
heshima kwenu wanajamvi,

kiukweli mimi ninashida nilikua ninaumwa fangasi kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri ninachomshukur mungu ni kuwa nimepona baada yakutumia madawa mengi sana ikiwemo tiba za asili baada ya kuona hizi za kizungu hazinisaidii tena, ila tatizo ni kuwa toka jana kuna uchafu unanitoka huku sehemu za siri yaani unakuta chupi imechafuka kama rangi ya brown unaambatana na ute kama wa yai ila ni mzito kuliko ule wa yai (mucus) na huo uchafu ukishatoka kama ni asubuhi haut0ki tena na nikijicheki sehemu za siri sioni kama kuna uchafu wowote kwa nje, naombeni msaada jamani linaweza kuwa ni tatizo gani jamani nimeteseka sana na haya magonjwa yasiyoisha,ninatanguliza shukrani zangu za dhati

fungus wana sababishwa na uchafu. Zingatia kanuni zote za usafi, kunywa maji mengi, tumia dawa za fungus za hospital, above all, mtibu na mwenzio. Mara nyingi ni vigumu kuthibiti tatizo hili kama mwenzio ni kicheche.
 
nidawa gani ya kienyeji ya fangasi uliotumia sis???
Tusaidie nasi wenye tatizo kama lako plizzz.

mkuu nilienda clinic ya praise sanitarian nikapewa dawa ya maji ya kupaka pamoja na dawa ya kuchemsha inaitwa ut_pls
 
  • Thanks
Reactions: Edo

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom