GlorytoGod
Senior Member
- Sep 8, 2012
- 158
- 50
Heshima kwenu wanajamvi,
kiukweli mimi ninashida nilikua ninaumwa fangasi kwa muda mrefu sana kwenye sehemu za siri ninachomshukur mungu ni kuwa nimepona baada yakutumia madawa mengi sana ikiwemo tiba za asili baada ya kuona hizi za kizungu hazinisaidii tena, ila tatizo ni kuwa toka jana kuna uchafu unanitoka huku sehemu za siri yaani unakuta chupi imechafuka kama rangi ya brown unaambatana na ute kama wa yai ila ni mzito kuliko ule wa yai (mucus) na huo uchafu ukishatoka kama ni asubuhi haut0ki tena na nikijicheki sehemu za siri sioni kama kuna uchafu wowote kwa nje, naombeni msaada jamani linaweza kuwa ni tatizo gani jamani nimeteseka sana na haya magonjwa yasiyoisha,ninatanguliza shukrani zangu za dhati