Jamani msaada mke wangu anaumia sana anapokuwa bleed nn tatxo

Naomba mtalaam wa mambo haya imekuwa kila nikimuona mjamzito natamani angekuwa mke wangu so please wadau msaada wenu
 
Ni kwaida ila ni vyema pia aende hos,na anapo skia maumivu ata kama ni tumbo hasilale mana ukilala maumivu uongezeka ajitume kwa kazi za nyumbani iko siku atakaa sawa mie nilikuwaga naingia mara 2 kwa mwezi nakuchomwa sindano tano kila niingiapo ila baada ya kupata mtt 1 ilikaa sawa . pole na mpe pole sana.
 
ni kawaida hata me huwa naumwa sana pia ila nikinywa white wine hasa penasol napata ahueni .. mtie moyo pia.. wengine husema kunywa maji ya moto au maji mengi hupunguza...
 
Hizo lugha za "ni kawaida" zipo hadi kwa ma-dr wetu ila ukweli ni kwamba, hakuna kawaida ya maumivu. Maumivu yoyote ya mwili ni kiashiria cha kuwapo kwa utata kwenye mfumo wa mwili. Waone madaktari haraka kabla shida haijakomaa. Kuna Fibroids, Endometriosis.... na mengine mengi tu. Hakuna kawaida kwenye hayo maumivu.
 
Pole sanaa kaka tafuta hii product itamsaidia sanaa, hata mie nilikuwa na hilo tatizo lakini saivi nasikilizia kwa wengine tu, kwa maelezo zaidi njoo PM

product-big-YunzhiEssence[1].png
 
Mwambie akiwa anaanza tu p awe na utaratibu wa kunywa maji ya moto yasiyowekwa chochote hii itamsaidia.angalau kikombe kimoja
 
Mpeleke hospital au kwa ma bibi hua wanakua n dawa za mitishamba,sis wangu alikua na tatizo hilo anaumwa tumbo mpaka sura inabadilika,tukaenda hospital mpaka tukachoka,mfanya kazi wetu bibi yake alikuja kutoka kijijini akamuona
sis anaumwa akamchumia majani flani na mizizi ya mtu hata siujui tangu siku hiyo mpaka leo yuko sawaaa Alhamdulillah.
 
Naomba mtalaam wa mambo haya imekuwa kila nikimuona mjamzito natamani angekuwa mke wangu so please wadau msaada wenu
Pole Sana sijakuelewa ishu ni kupata maumivu wakati wa hedhi au unatamani mkeo awe mjamzito.

Maumivu kidogo ni Hali ya kawaida ila yakizidi mpka mtu kushindwa kutimiza majukumu yake ndo shida.

Maumivu yaliyozidi kuna sababu nyingi Sana hivyo nakushauri mpeleke kwa gyno atapona
 
Pia hujaeleza vizuri Labda kwasababu sio muhusika
Kuna vitu vingi vya kuvifahamu mfano Anapata hedhi kwa mpangilio, anapata maumivu siku zote au ni siku za mwanzo Sana na mwishoni, ameshawahi kuzaa, inatoka nyingi au kidogo sana etc
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom