Natafuta kazi ya udereva, leseni yangu ni Class C

MGODOLO

JF-Expert Member
Oct 23, 2020
209
172
Habari zenu ndugu zangu,

Kwanza niombe radhi kwenu, ni hali ya maisha kuwa ngumu jamani. Leo nimeona bora nije kwa ndugu zangu humu huenda nikapata msaada ili nipate ridhiki ya kukizi maisha.

Naitwa Rashidi, nipo jijini Arusha, jamani mwanaume mwenzenu nimekwama kiajira. Nimemaliza mji wote wa Arusha huu, ni mwezi wa saba sasa sina kazi ya kujishikiza zaidi ya zile unapiga leo, unapata buku mbili unaikimbiza kwa watoto. Halafu bora hiyo buku mbili uipate kila siku iwe afadhali, hapana.

Ndugu zangu, taaluma yangu ni udereva, nimetafuta hii nafasi nimekosa. Baadhi ya sehemu wanataka pesa, nami hata ya kula na watoto sina.

Kwa wewe ndugu yangu kama unayo nafasi ya udereva gari lolote, hususan ya mizigo nipo tayari kuja mkoa wowote, leseni yangu ni Class C, na ina vyeti vyake.

Jamani wanaume wenzangu, tusaidiane, mwanaume mwenzenu nimeshikika.

Waswahili wanasema mficha uchi hazai, mimi leo nimeuonesha nizae. Nisaidie ndugu zangu, ikipatikana tofauti na udereva pia nitafanya ili familia ipate kula.

Asanteni sana. nitamshukuru mwenye kunisaidia na mwenye kunipa mawazo mazuri ya kimaisha.

Namba yangu kwa alie na uhakika wa ajira +255755360768. Msaada wenu ndugu zangu.
 
Pole,nipo Arusha pia,nikikupa Noah Arusha Namanga au Arusha Karatu utaniletea hesabu bila kukunjana mashati??

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ndugu, kweli naitaka hio kazi, ila sikuwahi kufanya kazi za hesabu.... Na isitoshe, hupo tayari tushikane mashati,... Je nikikosa hio hesabu ndugu yangu... Si utaniona mwizi mwisho unifungulie kesi... Itakua shida juu ya shida... Nipatie kazi isio ya hesabu hata kama mshahara ni mdogo nitafanya tu

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Duuh mzee baba, cdhani kama kulikuwa na haja ya kusema yote hayo mana utamtia uoga huyo anayetaka kukusaidia n bora ungesema upo tayar halafu hayo mengine mngeongea pemben.

Nakuombea Mungu ufanikiwe kwenye hitaji lako na tupo wengi nyuma yako
 
Habari zenu ndugu zangu...

Kwanza niombe radhi kwenu,.. Ni hali ya maisha kuwa ngumu jamani... Leo nimeona bora nije kwa ndugu zangu humu huenda nikapata msaada ili nipate ridhiki ya kukizi maisha...

Naitwa Rashidi, nipo jijini Arusha,... Jamani mwanaume mwenzenu nimekwama kiajira,... Nimemaliza mji wote wa Arusha huu, ni mwezi wa saba sasa sina kazi ya kujishikiza zaidi ya zile unapiga leo unapata buku mbili unaikimbiza kwa watoto.. Afu bora hio buku mbili uipate kila siku iwe afadhali, hapana....

Ndugu zangu??... Taaluma yangu ni udereva, nimetafuta hii nafasi,.. Nimekosa, baadhi ya sehemu wanataka pesa.. Nami hata ya kula na watoto sina....

Kwa wewe ndugu yangu kama unayo nafasi ya udereva gari lolote,.. Hususan ya mizigo.. Nipo Tayari kuja mkoa wowote, leseni yangu ni Class C, na ina vyeti vyake

Jamani wanaume wenzangu, Tusaidiane, mwanaume mwenzenu nimeshikika...

Waswahili wanasema mficha uchi hazai.... MIMI LEO NIMEUONYESHA NIZAE... nisaidie ndugu zangu... Ikipatikana tofauti na udereva pia nitafanya ili familia ipate kula

ASANTENI SANA.... NITAMSHUKURU MWENYE KUNISAIDIA...... NA MWENYE KUNIPA MAWAZO MAZURI YA KIMAISHA

Namba yangu jmn alie na uhakika wa ajira +255755360768 Msaada wenu ndugu zangu
Mungu akukumbuke katika hitaji lako
 
Ndugu, kweli naitaka hio kazi, ila sikuwahi kufanya kazi za hesabu.... Na isitoshe, hupo tayari tushikane mashati,... Je nikikosa hio hesabu ndugu yangu... Si utaniona mwizi mwisho unifungulie kesi... Itakua shida juu ya shida... Nipatie kazi isio ya hesabu hata kama mshahara ni mdogo nitafanya tu

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Duuh ,

Unaleta masharti tena ndugu yangu.

Nenda kachape kazi changamoto mtaelezana na boss.
 
Duuh mzee baba, cdhani kama kulikuwa na haja ya kusema yote hayo mana utamtia uoga huyo anayetaka kukusaidia n bora ungesema upo tayar halafu hayo mengine mngeongea pemben.

Nakuombea Mungu ufanikiwe kwenye hitaji lako na tupo wengi nyuma yako
Lakini ni vyema kumuweka mtu wazi kaka,.. Kaka kama riziki ipo ipo tu kaka.. Riziki itachelewa tu ila haitapotea kaka.. Nimeongea ukweli kuliko watu wajue nishapata kumbe bado... Samahani kwa hilo ndugu

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Duuh ,

Unaleta masharti tena ndugu yangu.

Nenda kachape kazi changamoto mtaelezana na boss.
Hapana kaka sio masharti... Kumbuka kama alivyoweka wazi tusije shikana mashati,... Nami naongea ukweli, kazi za hesabu sijawahi... Je? Nisipofikisha hesabu anayo taka.. Si ataniona mwizi... Na kingine naweza kukubali hapa kwenye mke, watu wakajua nimeshapata, kumbe, nimeikataa pembeni... Naitaka sana, ila yeye kaniweka wazi mapema, kwanini nami nisiweke wazi?

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu ndugu zangu...

Kwanza niombe radhi kwenu,.. Ni hali ya maisha kuwa ngumu jamani... Leo nimeona bora nije kwa ndugu zangu humu huenda nikapata msaada ili nipate ridhiki ya kukizi maisha...

Naitwa Rashidi, nipo jijini Arusha,... Jamani mwanaume mwenzenu nimekwama kiajira,... Nimemaliza mji wote wa Arusha huu, ni mwezi wa saba sasa sina kazi ya kujishikiza zaidi ya zile unapiga leo unapata buku mbili unaikimbiza kwa watoto.. Afu bora hio buku mbili uipate kila siku iwe afadhali, hapana....

Ndugu zangu??... Taaluma yangu ni udereva, nimetafuta hii nafasi,.. Nimekosa, baadhi ya sehemu wanataka pesa.. Nami hata ya kula na watoto sina....

Kwa wewe ndugu yangu kama unayo nafasi ya udereva gari lolote,.. Hususan ya mizigo.. Nipo Tayari kuja mkoa wowote, leseni yangu ni Class C, na ina vyeti vyake

Jamani wanaume wenzangu, Tusaidiane, mwanaume mwenzenu nimeshikika...

Waswahili wanasema mficha uchi hazai.... MIMI LEO NIMEUONYESHA NIZAE... nisaidie ndugu zangu... Ikipatikana tofauti na udereva pia nitafanya ili familia ipate kula

ASANTENI SANA.... NITAMSHUKURU MWENYE KUNISAIDIA...... NA MWENYE KUNIPA MAWAZO MAZURI YA KIMAISHA

Namba yangu kwa alie na uhakika wa ajira +255755360768 Msaada wenu ndugu zangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom