Darucha
Senior Member
- Dec 28, 2020
- 111
- 206
Jamani mm Nina tatizo la kusikia kidogo japokuwa namshukuru mungu pia kwa sababu nawaza je ningekuwa sisikii kabisa sijui ingekuwaje kwangu hii Hali imenifanya niwe natumia nguvu Sana katika baadhi ya mambo yangu Mimi Niko chuo first year kwa mfano lecture Kama anafundisha bila Mike napata tabu Sana inapelekea niwe natumia nguvu Sana kusoma pia kujiamini Kuna pungua Hali yangu hii kuna baadhi ya watu wanadhani najisikia sana inaniharibu kisaikolojia kuhusu hospitality nimeenda wanasema tatizo langu hawanishauri nivae hearing kwa sababu angalau nasikia vzr kidogo natamani nipate mtu au mshauri aniambie hilo tatizo ni dogo lisiharibu saikolojia yako na anipe Mbinu ya kuishi na hili tatizo nilione la kawaida kwa sababu linanifanya nishindwe kuishi na jamii inayonizinguka vizuri na kuwa ni mwenye wasiwasi na muoga na pia nataka chuoni niweze kusoma na kufaulu vzr hili tatizo lisiwe kikwazo kwangu karibuni kwa mawazo