Jamani mnisaidie mwenzenu!

mahendisome wengi hawajui kupiga mashine, ndomana wanakuacha, inaonesha unawachafua tu badala ya kuwarizisha!
Shame on u!
 
udhaifu wako utakuwa hujui kupenda, pi kujali huwajali na kitandani pia haupo fiti, mana kama msichana humpendi sana, na kumjali, lakini ukiwa bed unakamilisha vizuri, ni ngumu kukuacha haraka.
 
hongera sana

Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa sijui mtanisaidiaje wana jf?
 
Nenda kwa mganga-sumbawanga (kama ni mademu ndo wanaokusumbua) , Huo ndo ushauri pekee.
Maana kuna tofauti kubwa sana kati ya DEMU na MKE, Igekuwa ni mke basi nigekushauri vingine. Pole sana
.

Mkubwa mie hiyo avatar yako tu.....
 
Chukua shombo la samaki weka kwenye sufuria chemsha kisha funika weka chini ya kitanda kwa muda wa wiki moja baada ya muda huo kupita chukua kikombe uwe unakunywa asubuhi na jioni.

Akifuata huu ushauri atafanikiwa sana meeeeeeeeen!!
 
Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa sijui mtanisaidiaje wana jf?
ma HB wengi hawajui mapenzi asikwambie mtu cjui ni kwann aisee
nyie angalieni hata tz wale wanaojiita ma HB wote hawana mademu au wakiwapata hawakai nao hata miezi miwili au wakikaa mda ujue yule demu kun amjamaa kakomaa kinoma anamkamua gizani ...........
 
Embu check kauli zako, kama utakuwa na kauli mbaya, zisizo tamu na za kutia moyo kama mtu yuko na problem, utaachwa kila siku.
 
Ooh pole, badilisha zoezi hilo halikufai, tafuta kazi ingine ya kufanya au kalime mbogamboga. Tena sukuma wiki huko kenya.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom