Elections 2010 Jamani mnajua J.K. yuko Mwanza?

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Kuna taarifa zinaendelea kuzagaa kuwa Mh JK amekwenda Mwanza leo hii, je hizi habari ni za kweli? Kama ni kweli, je amekwenda kufanya nini???
 
Huo ni uwongo, ni moja kati mauwongo mwingi yanayomwagu humu leo, JK anajiandaa kwenda Zanzibar kumsindikiza Dr. Shein kupokea matokeo rasmi yatatangwazwa leo muda wowote kuanzia sasa.

Tume ya uchaguzi Zanzibar, imeshikwa na kigugumizi kutangaza matokeo rasmi, kwa sasa wanabuni formular ya uchakachuaji!.
 
Pasco usiwe tu mbishi aisee

JK ni kweli kaenda Mwanza na haijulikani kaenda kufanya nini huko mpaka sasa hivi.....
 
Huo ni uwongo, ni moja kati mauwongo mwingi yanayomwagu humu leo, JK anajiandaa kwenda Zanzibar kumsindikiza Dr. Shein kupokea matokeo rasmi yatatangwazwa leo muda wowote kuanzia sasa.

Tume ya uchaguzi Zanzibar, imeshikwa na kigugumizi kutangaza matokeo rasmi, kwa sasa wanabuni formular ya uchakachuaji!.

Kwani haiwezekani kwenda Mwanza na Zanzibar leo hii hii!
 
Nahisi ni kuchakachua kura za uraisi kwani anajua chadema wanaongoza huko na ndio jimbo lenye watu wengi sana. Naomba mlioko mwanza muwe makini kwani mtadhani jamaa anakuja kwa ajiri ya masha kumbe ni style ya kuchakachua za uraisi then awaachie ubung. Please be careful with this
 
Binasi siamini sana kama anaweza kwenda mwanza maana huko Zanzibar tu hali mbaya, inabidi akaokoe jahazi huko....Istoshe akienda mwanza itabidi apigiwe king'ora kama ilivyo kawaida sasa hapo zi atazua taharuki mji mzima, maan mwanza kwenyewe hali ni tete. hasa ukichukulia kuwa jamaa zake Masha na Diallo hali zao ni mbaya.
 
Hee........labda sheikh yahaya kamshauri aende ili mgombea mmoja wapo afe kabla ya uchaguzi
 
JK anataka kuondoka na damu za watanzania. Kwa nini hakuna sehemu hata moja hadi saa hii matokeo rasmi yameshatangazwa? Wanasubiri nini?
 
Hiki ndio kitu kinachochefua roho, kwani kwenye vichwa vyao hawakujua muda umewadia wa kupisha! Wanataka wazidi kunywa damu ya watz!!!:nono::nono::nono::nono:
 
habari za uhakika ni kuwa J.K. yupo Mwanza tangu jana usiku, na mpaka sasa matokeo ya ubunge hayajatangazwa na Masha na Diallo wamekataa kuyasaini. Maelfu na maelfu ya watu wapo halmashauri ya jiji la Mwanza wakisubiria matokeo ya uchaguzi yatangazwe wapewe taarifa sahihi za wapenzi wao watu makini sana Bwana Wenje (Nyamagana) na Higness (Ilemela) wakiwabwaga vibaya Waziri Masha na Bwana Diallo.

Sasa uwepo wa huyu J.K. sasa hivi Mwanza ni wa kuchakachua au??? Jamani wakitangaza tofauti italeta balaa na kuharibu amani tuliyonayo Mwanza. Nani aokoe janga hili?? Cha kufanya ni kutangaza matokeo halali tu!!!!!!
 
nadhani wanataka kuchakachua kaka, kwani kuna team ingine ya viongozi wakubwa toka ccm nayo imeenda zanzibar kukinusuru chama
 
Amini msiaamini JK yupo mwanza ...... na sasa yupo bugando kumuona swaiba wake masha hoiiiiiiiiiiiii. Nina uhakika maana mie nipo mwanza! Huenda lengo la kuja huku ni kuchakachua. Nina uhakika yupooooooooooooooooo.
 
mie hofu yangu ni kura za Slaa pia!!! Unajua mwanza kuna wapiga kura wengi na SLAA alipata nyingi! nadhani kuna haja ya kuwa makini na kura za urais pia. Inaweza kuwa trick waconcetrate na ubunge ila wachakachue za urais.............
 
Back
Top Bottom