Jamani mkipewa pokeeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani mkipewa pokeeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by drphone, Jan 22, 2010.

 1. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  ndg wanajamii na jamii kwa ujumla mwaka huu ni mwaka wa uchaguzi nakunakila dalili za takrima za wazi kabisa so ushauri wangu ukipewa khanga pokea ukipewa fulana pokea ukipewa pesa pokea yani usikatae kabisa kwani wametubia ili wajewatukaangee kwa mafuta yetu wenyewe ili kuwakomesha takrima tuchukue na kura tusiwape na mwisho wa uchaguzi tuwazomeee hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ngoooooooooooooooo
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pokea??, unajua vilipotoka ??
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  ufisadi na jasho la walipa kodi
   
 4. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  thidanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 5. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145

  yep tupo pamoja lazima tuzile na atudanganyiki
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Jan 22, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  pokea mazaga, bt kura mpe mwinginewe..short and clear!
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  asante kwa kuelewa point yangu chukua tano
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kupokea rushwa ni kuwa sehemu ya tatizo.
   
Loading...