Jamani Mke huyu amenishinda...anagawa kama pipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Mke huyu amenishinda...anagawa kama pipi

Discussion in 'Jamii Photos' started by grafani11, Oct 9, 2012.

 1. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,482
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Jamani mke huyu amenishinda, huu ndiyo ushahidi:
  1. wiki chache tu zimepita toka majirani zangu wamfumanie kule Mbeya akiwa na askari magereza mmoja kwenye mashamba ya mpunga akafanikiwa kukimbia kabla hawajafanya kitu chochote, nikamsamehe.
  2. Mara nyingine marafiki zangu wanaoishi Morogoro walimfuma akigawa uroda kwa fujo katika mashamba ya miwa kwa Afisa mmoja wa kampuni kubwa ya kuzalisha sukari. Kilichowashtua watu ni mke wangu kupiga kelele akihitaji cha tatu ndipo wapita njia wakashtuka na kuwakurupusha, napo nikamsamehe.
  3. Cha kushangaza aliporudi nyumbani Dsm nikaomba haki yangu ya msingi akaniambia amechoka na visingizio vingine kibao,pia nikamsamehe.
  4. Haya jana tena nimemfuma mwenyewe mkoani Kagera ameukalia msumari wa jamaa mmoja Afisa wa kampuni moja kubwa ya kutengeneza sukari ya huko. Aliniyepigia simu ni rafiki yangu wa karibu sana anaitwa Shija Mkina ambayeniliwahi kufanya naye kazi Dsm katika kampuni moja kubwa sana ya SSC, akanijulisha juu ya urafiki usio wa kawaida wa mke wangu na jamaa yake.
  Hii nimemfumania mwenyewe hata baba yangu mdogo mnamkumbuka aliwahi kuifundisha Taifa stars lakini kwa sasa anafundisha Timu ya Kagera Sugar alikuwepo kushuhudia aibu hii ya mke wangu jameniiii.
  Hebu waheshimiwa wana JF nisaidieni mawazo nimfanye nini huyu mwanamke? Mkitaka kujua picha yake hizi hapa chini;
   

  Attached Files:

 2. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,568
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Mbwa wewe
   
 3. Root

  Root JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 19,888
  Likes Received: 5,133
  Trophy Points: 280
  Yangaaaaaaaa hahahah hadi g string hahahah haya bana

  Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
   
 4. denoo49

  denoo49 JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 4,673
  Likes Received: 2,877
  Trophy Points: 280
  teh hehe hehe! Si ungemwambia simba wewe tu! Ikajulikana.
   
 5. shimwemwe

  shimwemwe Member

  #5
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 65
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kama ni wako na wengine waachie wapate riziki, naona unataka ufaidi peke yako, inauma lkn hakuna jinsi ya kufanya. Mpira ni Mashindano daima hivyo kushinda kupo na kushindwa hivyo hivyo. Asante
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280

  Na baba mkwe wako (Manji) anapesa za kumwaga lakini mwana hatosheki.................
  :embarassed2::eyebrows::eyebrows::lol::lol::lol:
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,522
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mhm!Uchokozi huo sasa
   
 8. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,568
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Pole, ila usichoke endelea kuwa naye si mmezaa wote? mshauri atumie kinga ili kujilinda.
  Jichunguze yawezekana haumuhurumii yeye uwezo wake ni TATU wewe unataka TANO! tena bila kupumzika, na pengine alikubania baada ya kusikia unatoa dozi kali na nzito huko nje ya ndoa!.
   
 9. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 20,633
  Likes Received: 13,808
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ! mkuu mwenzio kaomba ushauri wewe unamwita mbwa? Inauma sana unaomba unyumba unanyimwa wanaenda kupewa watu wa mbali kama Bukoba!
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 20,629
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280


  Hivi siku ile ulikunywa nini ukampiga vitano? Ulimchanganya mpaka akarudi kwao!!!
   
 11. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #11
  Oct 9, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,482
  Likes Received: 273
  Trophy Points: 180
  Mkuu Dinoo49 amekujibu mimi ni Simba sio mbwa.
   
 12. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,471
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Pole baba malaaya mama malaya unataka watoto waweje??
   
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,284
  Likes Received: 799
  Trophy Points: 280
  ngoja nisepe hapa nitapata ban la milele bure
   
 14. peri

  peri JF-Expert Member

  #14
  Oct 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  imekugusa sio?
  Ndio soka lilivyo, asiyekubali kushindwa....
   
 15. ChaterMaster

  ChaterMaster JF-Expert Member

  #15
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 17, 2009
  Messages: 1,062
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  aisee w jamaa ulienzzasha mada una akili kiaje,
  yan umenfurahsha mbaya YANGA aka YEBOYEBO wanasubiria kuzaa tu , yan ameshaachia mno lazma ajfungue kwa mimba zote hzo
  m nngekuwa yanga nngeshahamia smba faster
   
 16. D

  DCM Senior Member

  #16
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Paka!!!
   
 17. G

  Galaticos Member

  #17
  Oct 9, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
   
 18. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #18
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hahahahahahahaha aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee balaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 19. jamiif

  jamiif JF-Expert Member

  #19
  Oct 9, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 2,417
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ...Hizi comments mh! haya endeleeni waungwana tuone mambo!
   
 20. awp

  awp JF-Expert Member

  #20
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,715
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Yaani vijitusi ulivyopewa halali yako maana watu tulifikiri mambo yenyewe haswa looooooooo
   
Loading...