Jamani Mimi Ni Rijali, Tatizo Ni Kucheza Salama!

aisee hongera zako,mambo kompliketedi haya,ndo mana katika uzi huu kina mama kuingia marufuku!

yani demu akiniambia twende kavu moja kwa moja na prove kwamba ana ngoma, na nikivuta picha ya mgonjwa wa ukimwi hapo mashine lazima ilale bila kupenda.
 
Poleni wakuu ..
Kuna jamaa mmoja alinipa story yake very
Similar to this one . Ila yeye ni ile harufu .
Akisha toa tu pipi kwenye begi ile harufu ina
Mlaza nyoka mazima...

Ndo kilicho mfanya achague mmoja , pima na sasa karibu ata engage kwakwe...
 
Poleni wakuu ..
Kuna jamaa mmoja alinipa story yake very
Similar to this one . Ila yeye ni ile harufu .
Akisha toa tu pipi kwenye begi ile harufu ina
Mlaza nyoka mazima...

Ndo kilicho mfanya achague mmoja , pima na sasa karibu ata engage kwakwe...
you are out of bounds! hapa jandoni.
 
Nilikutana na tatizo kama hlli mwaka 2008.. Mpenzi wangu alikua ametoka masomoni.. Nilikua bado cjui afya yakke so nilinunua ndom tatu....

Amini usiamini nilishndwa piga gem kabisa..namwandaaa vizuri anapöniruhusu kuzama nikichana tu pakt ya ndom mshne yalala... Niliharib ndom zote tatu bure..
Nashukuru Mungu alikua ni mpenzi wangu wa moja kwa moja so alinielewa..
Siku ya pili niliona aibu kumuomba gem nikijua ntaumbuka tena... Tukaishia fanya Romance..

Siku ya tatu.. Namshukuru mpenzi wangu huyu...alinipikia chakula kizuri.. Baada ya kula tukaenda bed..kwa vile alishasoma mapungufu yangu yeye mwenyewe ndo alikua dereva.. Nililala chali akaja juu yangu.. Alihakikisha wala siioni pakt ya kondom.. Baada ya kunipoteza kabisa akaivisha ndom yy mwenyewe..kiulainiii.. Weee ilipigwa mechi ya hatari...

Tangu cku hyo ..that phobia has gone!!

My Views..
1.kama waopoa kicheche alafu unahlo tatzo lazma kikuaibishe kitaa.
2. Kubobea ktk Nyeto kwa mda mrefu pia husababisha hli tatizo... To be severe wengne hujikuta wanapiga ndan ya ndom wakat anavaa.
3.wakat mwingne ni kuhusisha tendo na HIV..

USHAURI..
1.kua na mpenzi mmoja wa kudumu,mvumilivu,anayeweza tatua matatzo ya kimahaba.
2. Kapime na mpenzio HIV.. mwende kav kav.
 
psi sijawahi kuvaa nikasex ila wkt nabarehe kupunguza kuota sugu na msuguano wkt napiga punyeto ndo nimewah kuvaa ila si wakt npo kwnye mambo kwnza wkt wa puli tu kalikuwa kananibana mpk bao linauma wkt wa kutoka

hvyo siwez kuchangia moja kwa moja ngoja nirud kwa shemej yenu nijaribu kuvaa leo thn ntawapa jibu.
 
psi sijawahi kuvaa nikad o ila wkt nabarehe mambo ya nyeto kupunguza kuota sugu na msuguano wkt napiga mambo ndo nimewah kuvaa ingawa kalikuwa kananibana mpk nahisi damu haitembei.

hvyo siwez kuchangia moja kwa moja ngoja nirud kwa shemej yenu nijaribu kuvaa leo thn ntawapa jibu.
 
Juzi nikapata nilikokuwa nakifukizia kama wiki hivi.Nikapiga na mavitu yao wacha nipate shida nikapata kazamaleck kamoja nikaona aibu inanijia.Iwe naiwe kilichotekea hapo mbele sinachakusema alikimbia mbona mashambulizi kama zambia
 
hacha tamaa kumbe una mke? kuwa muungwana akidada manaake wengi tafuta moja sasa we wote unawataka nguvu utatoa wapi?
 
Back
Top Bottom