Yaani wananikera sana na hii tabia yao, sijui kwa nini hawakui!
Ndio shida ya kuwa na WANAUME, hebu jaribu kuwa na MWANAUME
Masharobaro hao Jeska. Wa ukweli hawezi mwacha mtu anateseka pembeni kisa laptop halafu unaweza kuta jamaa yuko facebook anaupdate status
Wa kulaumiwa hapo ni mwanamke kwani ameshindwa kumdhibiti jamaa na matokeo yake laptop imekuwa bora zaidi yake..
wanawke bhana!