Jamani mie siipendi hii tabia ya wanaume ka nini...

Jeska

Senior Member
Jan 15, 2013
116
149
black-couple-technology-fight1.jpg


Yaani wananikera sana na hii tabia yao, sijui kwa nini hawakui!
 
Masharobaro hao Jeska. Wa ukweli hawezi mwacha mtu anateseka pembeni kisa laptop halafu unaweza kuta jamaa yuko facebook anaupdate status
 
Last edited by a moderator:
mu nimeona hiyo kwa wanawake sana yani uji mwanamke ikifika mda wa kulala ndo anaingia skype ukimwambia tulale anakwambia we tangulia
 
Wa kulaumiwa hapo ni mwanamke kwani ameshindwa kumdhibiti jamaa na matokeo yake laptop imekuwa bora zaidi yake..
 
mpaka napata muda wa kucheza na laptop ujue ww mwanamke kazi imekushinda...something somewhere is not right!..
 
MaTozY ndio zao hizo.....njoo kwa msela uone, hakuna kuremba mkishaingia kwenye hayo makitu, Msela yeye kazi yake moja tu, kukulisha "maboga" mpaka kuchee!
 
Hana lolote kujidai professional? Mchana alitoroka kazini kaenda nyumba ndogo jioni karudi nyumbani anajishaua ofisini kuna kazi sana!
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom