Gladness12
Member
- Mar 1, 2019
- 9
- 0
Jamani mi ni mwalimu s/msingi nataka nikasome diploma inawezekana??
inawezekana
inawezekana[/QUOTNashukuru::: maana kuna wengine wanasema diploma msingi haina dili hadi uwe umepita form six
Diploma ya ualimu au ya nini?Jamani mi ni mwalimu s/msingi nataka nikasome diploma inawezekana??
Ndiyo diploma ya ualimu shule ya msing
Ngoja nikasome watu wako vizur kukatisha tamaaahakuna chenye dili wala kisicho na dili...ni Muda ndio unaamua
Yani nina certificate ya ualimu msingi afu nataka nkasome diplomaNdiyo diploma ya ualimu shule ya msing
Ndiyo diploma ya ualimu shule ya msing
Yani nina certificate ya ualimu msingi afu nataka nkasome diploma
SingidaDiploma ya Ualimu wa msingi inatolewa na Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Upo mkoa gani mkuu?
Najisomesha
Singida
PoaNenda pale Tawi la Singida utapewa maelezo yote ya jinsi ya kujiunga.
Nisaidie kunijibia haka kaswali, "Umeolewa?"Jamani mi ni mwalimu s/msingi nataka nikasome diploma inawezekana??