Jamani Mganga hajigangi, CCM haiwezi kumaliza Ufisadi kwa sababu ufisadi ni sehemu ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani Mganga hajigangi, CCM haiwezi kumaliza Ufisadi kwa sababu ufisadi ni sehemu ya CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by shiezo, Mar 22, 2011.

 1. s

  shiezo Member

  #1
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ufisadi nchini, umepandwa, ukamwagiliwa maji, ukang'olewa magugu na ukapaliliwa na CCM. Ni vigumu sana kutofautisha ufisadi na CCM hivi sasa kwa sababu key players wengi wa ufisadi ni watu influencial ndani ya CCM. Wanufaika wa ufisadi ni wachache sana ukilinganisha na waathirika. Lakini waathirika ndo wenye nguvu kubwa ya kuamua kuendelea na ufisadi au kuupunguza. DAWA YA KUPUNGUZA (sio kutokomeza, manake hilo haliwezekani) UFISADI NCHINI NI KUITOA CCM MADARAKANI (KWA NJIA HALALI KIKATIBA).

  Nawasilisha.:teeth:
   
 2. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  :lol::juggle::washing:CCM hata ikifuliwa kwa JIK haiatatakata sasa wameanza kunyosheana vidole wakati fix zao tu hawa. Tujipange wang'olewe ili tubaki salama:focus:
   
 3. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Amen....hadi kife, ndio uponyaji kwa wafuasi wake utapatikana....

  CCM sio chama bali kundi la watumiao uhai wa wananchi kwa laana yao. Nyerere alisshasema "Chama goi-goi huzaa serikali goi-goi" na kwa sasa hali hii inadhihirisha kuwa CCM ni mama wa magoi-goi yote yaliyowahi kutawala nchi yoyote maskini duniani...sii chama ni 'sect' ya 'mafia-like' group ambayo inaweza kufanya lolote ili mradi kuangamiza ili mradi maslahi yao na ufisadi wao uwape wanachokusudia...! HII NI LAANA KWA TAIFA na ndio maana hata Mungu kaleta KIKOMBE CHA BABU kuponya wananchi dhidi ya CCM iliyoangamiza huduma za jamii ikiongozwa ha hospitali kufilisika kwa wizi na utawala mbovu, wakati wao wanaendajitibu nje bila mafanikio. Tumewashuhudia Viongozi hao hao wa CCM wakikimbilia kwa Babu, makundi kwa makundi, wao wenyewe wakiwa wamesahau kuwa ndio waloleta taabu yote hii ya ukosefu wa tiba mahospitalini hadi wananchi wanazikimbia hospitali zote, na kuikimbia huruma ya Mungu....CCM ni laana na AIBU kwa kizazi chote cha Tanzania!
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  ACHENI WOGA TUWATOE KIHALALI KWANI WALIINGIA KIHALALI, AUAYE KWA UPANGE INAMPASA NA YEYE KUFA KWA UPANGA!:juggle:
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Point!! Siku zote dodoki chafu (CCM) iliyojaa choo cha binadamu na wakududu wa kila aina kamwe haiwezi kutusaidi kusafisha vyombo hata vikatakata kwa theluthi moja kwenye karo.

  Cha msingi ni kuchimbia futi tisa chini dodoki kama hilo kujihadhari na ugonjwa wa kipindupindu, osha karo kwa maji ya moto (Nguvu ya Umma) na sabuni yenye dawa ya kutokomesha kabisa wadudu (CHADEMA Team) wote juu ya karo na mazingira ya jirani ili hatimaye vyombo vitakate (wananchi tufurahi) kwa misingi ya kuaminika.
   
Loading...