Elections 2010 Jamani mdee na Mnyika vipi

nimetoka eneo la kujumlishia matokeo ya mnyika, bado kazi inaendelea, njia zooote za kuchakachua zimegonga mwamba, sasa wanavizia tu watu wapungue wamtangaze huyo wanaomtaka wao, lakini wanajiweka katika hali ngumu, matokeo ya jimbo la ubungo, kituo kwa kituo, yako wazi na hata mtoto wa darasa la tatu ukimpa ajumlishe atamtangaza mnyika kashinda
 
mazingira ya ubungo ni ngumu kumwimbia mnyika, this time around ccm chali, anayejua kuhusu mdee plz!!!
 
Hili neno la kuchakachua nimelisikia kwenye mambo ya mafuta. Hivi jheikei kalijuaje hili na ameliingizaje ktk mambo ya uchaguzi. Atakua amezoeazoea mambo hayo.
 
Mwenye namba ya Mnyika aweke hapa tumtie moyo kijana wetu. Ila kwanini chadema wamekaa kimya mno?
 
Tunahitaji kujua kulikoni Mdee,we can't miss her Mjengoni , ni muhimu kuliko wabunge 20 wa CCM
 
Tunahitaji kujua kulikoni Mdee,we can't miss her Mjengoni , ni muhimu kuliko wabunge 20 wa CCM

Kabisa tunahitaji wabunge wengi sana kutoka nje ya CCM, tumechoka na vilaza wa kugonga meza na kusinzia bungeni bila kujua nini watanzania wanata na kutoa vipaumbele kwa mambo hayo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom