Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nadhani kama kuna uwezekano ndesa na mbowe watumi chopper waje dar haraka kusaidia mnyika na mdeeWadau kama kuna mwenye updates pls
Anaenda na wakati!Hili neno la kuchakachua nimelisikia kwenye mambo ya mafuta. Hivi jheikei kalijuaje hili na ameliingizaje ktk mambo ya uchaguzi. Atakua amezoeazoea mambo hayo.
Tunahitaji kujua kulikoni Mdee,we can't miss her Mjengoni , ni muhimu kuliko wabunge 20 wa CCM