Jamani mbona waziri wa giza katudanganya?

Mocrana

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
536
122
Hivi ngeleja ametufanya watanzania kama watoto? Kujitoa kwenye tv eti mgao utapungua makali wakati ndo umeongezeka mana yake nn? Halafu na pinda nae kanyamaza kimya wakati yy ndo alitetea hoja bungeni, mwezi wa tisa umeshafika katikati hakuna kinachoendelea yani umeme unakatika saa 2 asbh unarudi saa 5 usiku. We ngeleja tuambie kinachoendelea
 
Mkuu kwani sasa hivi umeshasahau kuwa sisi ni Wadanganyika tunaokaa ardhi ya Tanganyika?
 
Hivi ngeleja ametufanya watanzania kama watoto? Kujitoa kwenye tv eti mgao utapungua makali wakati ndo umeongezeka mana yake nn? Halafu na pinda nae kanyamaza kimya wakati yy ndo alitetea hoja bungeni, mwezi wa tisa umeshafika katikati hakuna kinachoendelea yani umeme unakatika saa 2 asbh unarudi saa 5 usiku. We ngeleja tuambie kinachoendelea

Haoni umuhimu wa kusema lolote maana ajira yake kishahakikishiwa hadi October 2015. Hivyo anapeta tu bila kujali athari zozote za ahadi zake chungu nzima zilizojaa uongo.
 
aaaaaahhhh si hatuna usemi baaaaba..................hata ungeziiiima kabisa mitambo
 
Tanzania ni nchi ya aman, hata kama kasema uwongo atasamehewa na siku zasonga mbele.
Mkubwa jali ugali wako wa siku issue nyingine ukifuatilia sana waweza kunywa sumu bureeee
 
mimi naona kama vile wizara ya nishati haina waziri mwenye dhamana.
 
Tanzania ukweli mwiko. Kama jk wa pili anadanganya Ngeleja atasema ukweli?
 
Tanzania ni nchi ya aman, hata kama kasema uwongo atasamehewa na siku zasonga mbele.
Mkubwa jali ugali wako wa siku issue nyingine ukifuatilia sana waweza kunywa sumu bureeee
Mkuu na huu mgao kuna ugali kweli? Kazi zimesimama ati...
 
Wewe mtoa mada nawe wa ajabu sana,
Lini huyu waziri alishawahi kusema ukweli mpaka ushangae kwa kudanganywa hili??
Hujamzoea tu huyu jamaa??!!
Huyu asipodanganya hua haoni raha,
Jitahidi umzoee tu huyu jamaa mkuu wangu!!!
 
<br />
Lini huyu waziri alishawahi kusema ukweli mpaka ushangae kwa kudanganywa hili??<br />
Hujamzoea tu huyu jamaa??!!<br />
Huyu asipodanganya hua haoni raha,<br />

kwani ni waziri gani wa JK anaongeaga ukweli,?! Wote wale wale kama boss wao. Na yeye kakaa kimiya kama vile hajui kitu! Du! nchi hii bana!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom