Jamani mbona Hosea hajajiuzulu hadi leo na hajawajibishwa?

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
TAKUKURU ni chombo muhimu sana katika nchi hii lakini kauli tata za TAKUKURU juu ya Richmond na sakata la Rada yanatia dasari taasisi hiyo.Hosea ajiuzu TAKUKURU iwe safi na kama hataki awajibishwe na Rais kwani hata Rais inamtia dosari kwani iko chini yake.Jamani tuseme hapana kwa Hosea,"enough is enough".
 
Kwa uongozi upii!?? Mkuu naona umepotea hapa ni jana na leo namaanisha hakuna mabadiliko yoyote!
 
Rais yupi?
Hatuna Rais mwenye viwango kuonyesha kuwa ameaibishwa na Hoseah. Besides Hoseah ni Mr clean kuliko hata huyo unayesema ni rais.
 
TAKUKURU ni chombo muhimu sana katika nchi hii lakini kauli tata za TAKUKURU juu ya Richmond na sakata la Rada yanatia dasari taasisi hiyo.Hosea ajiuzu TAKUKURU iwe safi na kama hataki awajibishwe na Rais kwani hata Rais inamtia dosari kwani iko chini yake.Jamani tuseme hapana kwa Hosea,"enough is enough".

Wabunge wetu walikuwa busy na maswala ya bunge na mijadala mingi hapa JF ilielekezwa kwenye yaliyokuwa yakijiri Bungeni hata vyombo vya habari kadhalika. Ni imani yangu moto utakaowashwa na vyombo vya habari utakuwa wa gas ya songas na kuzimika kwake ni jamaa kuachia ngazi.
 
TAKUKURU ni chombo muhimu sana katika nchi hii lakini kauli tata za TAKUKURU juu ya Richmond na sakata la Rada yanatia dasari taasisi hiyo.Hosea ajiuzu TAKUKURU iwe safi na kama hataki awajibishwe na Rais kwani hata Rais inamtia dosari kwani iko chini yake.Jamani tuseme hapana kwa Hosea,"enough is enough".

Tunashukuru idadi ya wana CHADEMA inayomtambua Mh.Rais KIKWETE inaongezeka!
 
Si nasikia huko sumbawanga kuna radi ya kununua?

Huku sote tumeokoka!! kila baada ya nyumba tatu unakuta either nyumba ya shemasi au mzee wa kanisa au mchungaji au askofu, tunamsubiri BWANA .hayo tumewaachia ninyi - kwa mashehe akina yahaya.

Lakini ukitaka maana yake mtu aanguke kiroho kwanza. Bei yake huiwezi. teheheheheheh
 
Tunashukuru idadi ya wana CHADEMA inayomtambua Mh.Rais KIKWETE inaongezeka!

Ni Rais wa NEC si wa wapiga kura,ni jina tu hana jeuri kama Rais angalia uteuzi wake kwa mashemeji na waislamu.anaongozwa na mafisadi na analindwa na ulinzi usioonekana.
 
Si wamesifiwa jana bungeni na muungwana, this country bwana tumerogwa na mchawi wetu alikua tasa na ashakufa yaani ni devine intervention
tu ndio itatuokoa :whoo:
 
Laiti angekuwa kayafanya hayo madhambi mliyoyasema roho ingemsuta...lakini kwa kuwa anajiamini na msafi na anatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria inayomuongoza Hosea hana haja ya kujiuzulu...mikelele yetu hii ni kama tumetumwa kumchafua humu JF...big up JK na Hosea kazeni buti kwenye mapambano ya ufisadi...!!!
 
Back
Top Bottom