Jamani! Mataa ya Chang'ombe kuna nini, masaa matatu gari hazisogei!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,017
40,685
Natokea huku Vetenary (keko furniture) kuelekea machinga complex, ni masaa matatu sasa gari hazisogei hata nukta, nimeamua kuzima gari kabisa, whats going on?!!!
 
Back
Top Bottom