Elections 2010 Jamani masha amefanyaje??????

Oct 12, 2010
70
7
EBWANA NAOMBA KUULIZA MASHA AMEPIGANA NA NANI NA KWASABABU GANI MWENYE FULL INFORMATION ATUJUZE:target::target::target::target::target::target::target:
 
kama haya ni ya kweli, basi hatari ni kubwa kwa wengine walioshindwa wa ZZM na tutegemee vituko zaidi
 
kama haya ni ya kweli, basi hatari ni kubwa kwa wengine walioshindwa wa ZZM na tutegemee vituko zaidi
Kuna watu wanadhani walizaliwa kuwa na vyeo maisha yao yote................. Ikitokea tofauti na hivyo utasikia.........KAPIGANA............KANG'OA VITASA................etc
 
pombeee...pombeeee....ukizidisha inakua nomaaaa!!!
 
Ni kweli kabisa na wala siyo umbea, ilikuwa usiku, sehemu fulani hivi, Masha akiwa kashauweka mtungi, then mambo ya siasa yakaingia, comments za Ulimwengu zikampandisha hasira Masha, alimtwanga vibaya, Ulimwengu nundu kibao usoni, Poor guy, angeweza kumuua mzee wa watu, Ulimwengu ana ugonjwa wa kisukari..

Nimesikia kwamba wameamua kuyamaliza kifamilia, wote wameoa sehemu moja, marangu kwa 'Mareale', nasikia wakwe wameamua kusuluhisha na kumsii Ulimwengu asichukue hatua sababu Masha atahadhirika vibaya.

Ushauri: Masha acha utoto.. It seems u dont have patience na kujifanya mtemi, utakuja pata kichaa atakayekutoa roho..
 
Back
Top Bottom