jamani marehemu adam lusekelo ndio huyu alitangaza kugombania ubunge?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani marehemu adam lusekelo ndio huyu alitangaza kugombania ubunge??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 4, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,376
  Likes Received: 5,662
  Trophy Points: 280
  kwaanza napenda kuwapa pole nduguzangu wakina mwakangata Mungu awape nguuv wakati huu mkiusafirisha mwili wa marehemu..kuna mandishi alitngaza kugombania ubunge najaribu kumfananisha na marehemu..na kwenye maelezo nimeambiwa ana mwaka mmoja ameanza kuumwa najiuliza kama ni yeye mbona alikuwa mzima alianza lini jamani aka yetu lusekelo..

  Mungu amlaze pema pepon
   
Loading...