Jamani mapenzi yanauma sana, mapenzi hayana maana ni stress tu

5997

JF-Expert Member
Jan 19, 2019
514
1,204
Wakuu
Mapenzi mi siyaelewi kabisa, yananitia tu katika stress, nilipokua single nilikua fresh kabisa nilipoingia kwenye uhusiano
Ni stress tupu mawazo chungu nzima
Wivu, hila yani mapenzi hayana maana yoyote zaidi ya kuongezeana matatizo tu,
Sina amani kabisa mpaka hatua nyingine mtu unataka kuchanganyikiwa?
Usingizi shidaa kupata
Mapenzi yana maana gani sasa
Si bora mtu kubaki hivyohivyo tu?
Natamani kutoka lakini unashindwa, nafuta namba huku ninayo kichwani!

Sitaki mapenzi Mimi, sitaki uhusiano, sitaki kufa mapema,
Better to be alone,
Hakuna faida yoyote zaidi ya kukumbatiana tu na kifanya mapenzi,
Si bora nikanunue tu mtu Wa kulala nae kisha aende zake kuliko kukaa unawaza limtu kichwani mwako?

Niambieni Nini faida ya mapenzi zaidi ya kufanya na tu?

UJINGA UJINGA TU!

I HATE YOU LOVE
 
Use this kwa kulinda afya yako
IMG-20190221-WA0013.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mzee baba umeandika kwa hisia sana, anyways ukweli ni kwamba, kuna watu wapo kwenye reltionships lakini ni kama mioyo ishakufa ganzi zamani sana wanaishi kimazoea tu, na kusaidiana mambo ya hapa na pale.
 
Wakuu
Mapenzi mi siyaelewi kabisa, yananitia tu katika stress, nilipokua single nilikua fresh kabisa nilipoingia kwenye uhusiano
Ni stress tupu mawazo chungu nzima
Wivu, hila yani mapenzi hayana maana yoyote zaidi ya kuongezeana matatizo tu,
Sina amani kabisa mpaka hatua nyingine mtu unataka kuchanganyikiwa?
Usingizi shidaa kupata
Mapenzi yana maana gani sasa
Si bora mtu kubaki hivyohivyo tu?
Natamani kutoka lakini unashindwa, nafuta namba huku ninayo kichwani!

Sitaki mapenzi Mimi, sitaki uhusiano, sitaki kufa mapema,
Better to be alone,
Hakuna faida yoyote zaidi ya kukumbatiana tu na kifanya mapenzi,
Si bora nikanunue tu mtu Wa kulala nae kisha aende zake kuliko kukaa unawaza limtu kichwani mwako?

Niambieni Nini faida ya mapenzi zaidi ya kufanya na tu?

UJINGA UJINGA TU!

I HATE YOU LOVE
NIKODISHE MIMI MWEZI MMOJA TU ATAKUPENDA SANA WALAHI! NIPE NIKUTENGENEZEE TUNAYO KAMPUNI YETU YA KUREKEBISHA HALI HII KWA WAPENZI WOOTE!
 
Back
Top Bottom