Jamani mapenzi yananitatiza eeeee...

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Aug 29, 2007
841
175
Kulala siwezi,kukaa siwezi....chakula sitaki nakiona sumu.
 

Attachments

  • Eti.jpg
    Eti.jpg
    24.5 KB · Views: 595
kama yanakutatiza achana nayo kuna kazi nyingine kama utawa, ulevi, kulima na kufuga... chaguo ni lako manake kama yanakutatiza na unaendelea kuyang'ang'ania ujue israel hayuko mbali na wewe na hivi anatafuta hesabu ya kungunga mwaka.
 
Huyu jamaa na mkewe ndio namna yao ya kufanya tendo la ndoa mpaka wapigane mmoja alie machozi halafu baadae wanaenjoy kwa raha zao,hapo ndio huona mapenzi matamu.
 
Huyo demu atakuwe mapepe jamaa limemfumania. Hapo ni murder case tu, LIWALI NA LIWE!
 
Mjini shule wewe, chakarika upate kuvaa vizuri
Wax hazitakupitia kushoto, inyesha umahiri wako Bidada!!!!!!
 
Swadakataaaaaaaaaaa
kama yanakutatiza achana nayo kuna kazi nyingine kama utawa, ulevi, kulima na kufuga... Chaguo ni lako manake kama yanakutatiza na unaendelea kuyang'ang'ania ujue israel hayuko mbali na wewe na hivi anatafuta hesabu ya kungunga mwaka.
 
Aisee unacheza na miaka 30 jela sio?

Sent from my BlackBerry 9360 using Jamie's
 
Hata mimi inanishangaza;inakuwaje katika tendo kama hilo una muandaa mpenzi wako kwa kutumia nguvu?!Inaonyesha jinsi gani wanavyokuwa hawa-enjoy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom