Jamani mapenzi hujui, pesa huna unang'ang'aniza ndoa loh!

Halafu mbona naona solution ulikuwa nayo kabla hata hujaandika...Umesema mtu hamjali,Hana pesa (Kitu ambacho umekipa kipaumbele),Mambo ya 6*6 ni zero sasa anasubiria nini miaka yote mitano hio....Is she waiting for a miracle from GOD to happen???Aachane na mambo ya familia huyo mwanaume ataishi nae yeye na si yoyote so SHE IS RESPONSIBLE FOR HER HAPPINESS AND SHE SHOULD LIVE HER LIFE UNDER HER CONDITIONS PERIOD!!!!!Au hajielewi anataka nini ndo maana anatapatapa?

yawezekana!!!!!!!
 
Sasa km ameweza kukaa 5yrs na huyo jamaa tatizo kaligundua sasa iv? Cha msing amueleze tu ukwel huyo jamaa na hata ndg zake
 
yawezekana!!!!!!!
huyo mkaka amuache tu keshamtia dosari nyingi anawazibia wengine riziki zao!!!na akiendelea kuwa nae atamtenda mbeleni!!!amcheat au amuadhirishe kwa namna moja au nyingine!!na kitu kingine hatompa huyo mwanaume heshima anayostahiki kupewa kwasababu tayari keshamdharau kwamba hamfikishi akilinganisha na wengine and thats too baaaad....kinachonishangaza tu ni kwamba alikuwa anasubiri nn muda wote huo...kama hizo kasoro zote lazima aliziona mapema kazivimbikaaaa weeeee dah!
 
Miaka mitano mtoto yuko nursery kabisa......hiyo ndoa haitadumu itabebwa kwenye machela palepale kanisani...bora amuache jamaa for good,dah hiyo Miaka amepoteza sana.
 
mleta mada...wewe umeolewa?
1.kama ,jibu ni ndiyo starehe yako kwa mme wako ni ipi?
2.Je,mme wako huwa anakukaza vzuri??
3.Km,bado hujaolewa,je ungependa kuolewa na (a) mme anaejua kugegeda vizuri au (b)mwenye mapenzi ya kweli au
(c) mwenye pesa
Kuoana kwa matazamio ya kustarehe kwa maana ya kufanya mapenzi ni "Ujinga" ambao vijana wengi wanaupa kipaumbele katika kufikia kufanya maamuzi ya kufunga ndoa.wanasahau ndoa ni zaidi ya kufanya mapenzi...faida kubwa ni kuwa na familia(watoto) yenye furaha na upendo....kugegedana huwa kuna expire baaada ya miaka michache ya ndoa na kuzoeana.
 
me sijaolewa ila nataka mwanaume mwenye mwenye mapenzi ya kweli na
mwenye pesa ,..... lakini muhimu c
 
Miss chagga Fanya yote lakini sio kosa la kuchagua mume au mke umpendaye. Hivi umewahi kujiuliza ulale kitanda kimoja na mtu ambaye humpendi kwa Masaa 24 siku 7 miezi 12????? Hio ni adhabu kubwa kuliko kakaa jela.. ushauri aachane na Huyo mwanaume na uje na mada ya namna ya kumuacha kama atashindwa. Be advised
 
du, kwani ndoa ni nini? ila ki ukweli mautundu ni muhimu sana kwenye mapenzi. na huyo dada hana furaha na jamaa hata kidogo, na inaonekana hata kummic hana. ila nijibu swali hili vipi huyo dada hana mupenzi wa nje? maana hapo lazima abadirishe gari, ila kuna style zingine mnakunjana hata sura hazionekani naona jamaa kaona asije kufa bure, wengine wana magonjwa ya kurithi.
 
Amshauri jamaa awe anafanya mazoezi na pia vyakula...chipsi kuku aache ale vyakula vya kuongeza nguvu...

Hayo ya simu yanaweza kurekebishika..

Na siku zote uwezi kupata full package mengine mnafundishana na kurekebishana mpaka kieleweke
alaf unajua watu mnashupalia chips/kuku/mayai bila kujua nin chanzo hasa cha upungufu wa nguvu za kiume.., its all these industrial foods tunazokula kila siku.. juice za viwandani(azam mango nk.nk) soda, zina preservative kama sodium benzoate na wenzie cocaine...to mention few,, ambazo zina chelate protein..

unakuta shahawa hazizalishwi kwa wingi na pia hormone haziuishwi kutokana na upungufu wa protein, mtu anatoka kitambi tu sababu ya kitimoto na minyama lakin protein yake ishamalizwa na soda.

we kula hizo chips na kuku, sijui mayai etc lakin kama vimepikwa natural na hakuna kemikali unazobugia kwenye vinywaji na baadhi ya vyakula utapeta tu..., coz unapata protein ya kutosha.

sisitiza watu kula vyakula natural na sio vyakula vya viwndani, sio unapiga vita chips, huku soda zikiachwa., mtu anakula wali maharage safi uliotiwa nazi safi kabisa alaf akimaliza kula anapiga soda..., ushaharibu kila kitu.
 
ha haha..., sio shoga yake ni yeye mwenyewe.., au umesahau watu wa humu kijifanya kuomba ushauri kupitia migongo ya marafiki zao...lol

kaone kwanza me siogopi mtu humu kama inanihusu nakuja kusema ni me
 
Miss chagga Fanya yote lakini sio kosa la kuchagua mume au mke umpendaye. Hivi umewahi kujiuliza ulale kitanda kimoja na mtu ambaye humpendi kwa Masaa 24 siku 7 miezi 12????? Hio ni adhabu kubwa kuliko kakaa jela.. ushauri aachane na Huyo mwanaume na uje na mada ya namna ya kumuacha kama atashindwa. Be advised

hana na kama anaye simjui mimi
 
Back
Top Bottom