Jamani maji yamefika shingoni nimwachaje?

Habarini wadau na washauri wa JF

Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemiss anaongezea.

Tumeenda vizuri, tumeishi kwa furaha saanaa ghafla mambo yakaanza badilika baada ya mwezi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi ya 4g mara sms zikapungua kujibu hadi ajifikirie na ukimpigia hata ukimwambia maybe i love u anajibu thanks nachoumia akihitaji chochote tokea kwangu nampa mapema kabisa kuna muda hata hajaniomba namwambia maybe kasuke naona nywele zimechoka nampa 50k nafanya vitu vingi sanaaa juu yake.

Kinachoniuma ni kwamba hana muda na mimi na kwangu hataki kuja na swala la game ukiomba mpaka upewe ni kazi tena bao moja pia hayupo romantic si yule wa kutoa support ukiwa nae faraghaaa, yupo tu.

Nisaidieni wadau nimwacheje maana naumia sana, kuna muda naharibu hadi kazi kwasababu nakuwa namuwaza sanaaaaa.

KUPENDAA KUNAUMA SANAA
Inaonekana bidada amefanya jitihada ili umtambulishe kwao au utangaze Ndoa ameona kimya
Akajua hapo hamna ndoa, ni kupass time tu (hit and run) hivyo ndio anajiongeza ILI Usije kumzibia fursa halafu ukamwacha
1. Mmekuwa kwenye mahusiano kwa muda gani?
2. Kwani ulishawahi kuongelelea future ya mapenzi yenu (serious) sio ile ya kisekondari
3. Ulishawahi kumtambulisha hata kwa ndugu zako au kwa rafiki zako wa karibu?

Kama hayo hapo hujayafanyia kazi basi wewe ndiye chanzo

2.
 
Habarini wadau na washauri wa JF

Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni mimi sema alikuwa aanijiongeza anaangalia nini kimemiss anaongezea.

Tumeenda vizuri, tumeishi kwa furaha saanaa ghafla mambo yakaanza badilika baada ya mwezi mmoja na nusu mawasiliano yakapungua kwa kasi ya 4g mara sms zikapungua kujibu hadi ajifikirie na ukimpigia hata ukimwambia maybe i love u anajibu thanks nachoumia akihitaji chochote tokea kwangu nampa mapema kabisa kuna muda hata hajaniomba namwambia maybe kasuke naona nywele zimechoka nampa 50k nafanya vitu vingi sanaaa juu yake.

Kinachoniuma ni kwamba hana muda na mimi na kwangu hataki kuja na swala la game ukiomba mpaka upewe ni kazi tena bao moja pia hayupo romantic si yule wa kutoa support ukiwa nae faraghaaa, yupo tu.

Nisaidieni wadau nimwacheje maana naumia sana, kuna muda naharibu hadi kazi kwasababu nakuwa namuwaza sanaaaaa.

KUPENDAA KUNAUMA SANAA
Kaka ujue kuna mtu anakusaidia muda mwingine kuna maeneo ulikuwaumfikishi, sasa kapata wa kumfikisha
FB_IMG_1636203230662.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom