Jamani madent miliopita tukuyu secondary mupo groundini jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani madent miliopita tukuyu secondary mupo groundini jf

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by handeni, May 24, 2011.

 1. h

  handeni Member

  #1
  May 24, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yule headmaster mwangoka yupo bado pale tukuyu? Au nae ndio kajifanya gadaf? Du mdingi yule nae alikuwa mnoko, hivi mnamkumbuka jamani hata waalimu wenzake walikuwa wanamuogopa kinoma.alikwishampiga kichwa mshikaji fulani alikuja pale shule kumtembelea mkewe. Almanusura awekwe lupango.
   
Loading...