Elections 2010 Jamani Lyatonga Mrema kapatwa na ugonjwa gani?

Heshima kwako Kyachekiche.

Mkuu afadhali wewe umemwelewa Mzee wa Kiraracha.wengine wanajaribu kumwona mjinga wakati hata Mtu huru katangaza kugombea ubunge Hai.Mtu wa kumshangaa ni Lipumba asietaka kusoma alama za nyakati.Ukweli ni kwamba CCM iatshinda tena ingawa sipendi hii hali lakini mpaka sasa sijaona juhudi za dhati za vyama vyote vya upinzani kutaka kuongoza dola.

Najua wako baadhi ya wachangiaji wasioamini Mzee wa Kiraracha atakuwa mbunge wa Vunjo lakini mtashanga sana jinsi atakavyopita kwa kishindo huko Vunjo kama hamuamini mulizeni Mheshimiwa Kimaro alivyogaragazwa kwenye uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji hadi akafikia hatua ya kuwarubuni wenyeviti walioshinda.

Kwa macho na masikio ya kawaida unaweza usimuelewe, lakini impact yake utaisikia kampeni zikianza.
 
the biggest problem humu ndani watu ni wapuuzi, hawana hoja bali ni kutukana tu na tu make things worse hili ni jukwaa la chadema, na nani asiye jua kama chadema mna kisa na mrema. angalieni hoja. mrema kapewa jukwaa la bure kalitumia kufanya kampeni, katumia opportunity aliyopewa, kaalikwa kwenye sherehe ya ccm, ukiwatukana siwatakutolea dirishani, ukialikwa kwenye harusi unaweza kwenda kuponda. chadema ni binafsi na hawana tija wakiongozwa na mbowe, na hata huko hai mbowe hawezi kushinda. chama cha familia ya mbowe na slaa.....mbona huyo zitto wenu anamfagilia kikwete, au hayo hamyaoni kwasababu yanawahusu.....small minds discuss people, middle minds discuss events, great minds discuss events..........nyie ni SMALL MINDS.........sorry
 
Kwa hiyo wale aliowatimua TLP akiai ni mashushushu wa CCM ilikuwa ni janja yake kuwapeleka wakajiunge CCM?
Matendo yake nayasoma kwa kila nukta ya mwendo.

Mrema anaugua MNYONG'ONYO bila shaka.
 
the biggest problem humu ndani watu ni wapuuzi, hawana hoja bali ni kutukana tu na tu make things worse hili ni jukwaa la chadema, na nani asiye jua kama chadema mna kisa na mrema. angalieni hoja. mrema kapewa jukwaa la bure kalitumia kufanya kampeni, katumia opportunity aliyopewa, kaalikwa kwenye sherehe ya ccm, ukiwatukana siwatakutolea dirishani, ukialikwa kwenye harusi unaweza kwenda kuponda. chadema ni binafsi na hawana tija wakiongozwa na mbowe, na hata huko hai mbowe hawezi kushinda. chama cha familia ya mbowe na slaa.....mbona huyo zitto wenu anamfagilia kikwete, au hayo hamyaoni kwasababu yanawahusu.....small minds discuss people, middle minds discuss events, great minds discuss events..........nyie ni SMALL MINDS.........sorry

Heshima kwako Majasho,

Ni kweli CHADEMA wanakinyongo na Bwana Mrema tangu enzi akiwa NCCR mageuzi.Nakumbuka Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo Mzee E Mtei alikuwa akigombea ubunge mjini Arusha kwa tiketi ya CHADEMA alikuwepo pia Bwana Makongoro Nyerere alikuwa akigombea kwa tiketi ya NCCR Mageuzi.

Mzee Mtei alikuwaakifanya kampeni kwa muda mrefu mjini Arusha lakini Makongoro alikuwa akimsaidia kampeni za urais wa Bwana Mrema Tanzania nzima.Makongoro alifanya kampeni mjini Arusha kwa muda usiozidi siku tatu tu na akashinda.CHADEMA hawakumsimamisha mgombea urais walimuunga mkono Bwana Mrema.Bwana Mrema alipokuja Arusha aliwasimamisha Bwana Mtei na Makongoro Nyerere na kuwaachia mtihani wakazi wa Mji wa Arusha wamchague mgombea wanaemka.Mzee Mtei alisononeka sana kitendo cha Bwana Mrema kumsimamisha Makongoro Nyerere na yeye,alitaka asimamishwe pekee yake.Chuki za CHADEMA dhidi ya Bwana Mrema zikaanza hapo,kila analofanya Mrema ni baya,mbaya zaidi chuki hizo zimeendelezwa na mkwe wa Bwana Mtei ambaye ni mwenyekiti wa CHADEMA Bwana Freeman Mbowe na baadhi ya wanachama wa CHADEMA ambao wanataka kuufanya mtandao wa JF ni mali yao.Nimemsikia mwenyewe Mheshimiwa Zitto Kabwe akimsifia Muungwana mara kibao haikuwa nongwa,Mzee wa kujaza watu mapesa kamsifia Muungwana mara kibao hapakuwa na hoja zozote hapa jamvini za kuwatukana kina Zitto na Cheyo ??????.

Mrema anajua kusoma alama za nyakati, na anajua anachokitaka, Nina hakika atafanikiwa, wasiwasi wangu uko kwenye Afya yake.
 
Eti nasikia mrema ngozi inawasha kila wakati mpaka kashindwa kuzindua kampeni za mgombea wake wa uraisi na huko vunjo ndo kashabwagwa na mrema mwingine wa CHADEMA halafu analalamikia rafu CCM eti Kikwete amsikie na kumuonea huruma kwamba arudi chamani. Anataka msaada wa JK kama alioutoa kwa Wasira maana na Wasira alisota mpaka JK alipomuibua
 
pumbavu kabisa...niko marangu na mrema alikuwa anamkutanao jana jioni marangu mtoni...hivi nyie mnatokeaga watu mnakurupuka tu....kwa taarifa yako Mrema anashinda hata augue ukurutu wa milele wachaga huwaambii kitu..CCM wako hoi katika jimbo hilo for you information
 
mkuu kigogo ...............umeniwacha na smile na hiyo ' hata auguwe ukurutu wa milele' :becky:
 
mwaka huu kazi ipi ........................vyama vya upinzani vyenyewe kwa wenyewe vinatiana kabari
 
Watu wengine roho mbaya , Jimbo la Vunjo linaenda na Mrema, CCM kaeni mkao wa kulia. Hata mkimtakia kifo, kama maulana ajapanga afi.
 
Back
Top Bottom