Jamani, Lissu angekuwa jaji! Sikia maamuzi yake...

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Hapa kwenye video anaonekana Lissu akiwa anaongea na mfanyabiashara anayelalamika kuibiwa hela.
Lisu anamjibu, Hujaziweka sawa sawa. Wewe unadhani watu wengine hawatumii hela?
Daah, hilo jibu la Lissu nimelipenda sana...


 
Back
Top Bottom