Jamani leo sioyi kajichanganya tena maskini ya mungu da hii kali tena

Yaani kuna post humu zina mislead sana watu. Ukizifuata unaweza kupotoshwa ukapotea. Why aren't you guys fair???? Msipotoshe watu jamani. Watu tupo huku arumeru tunashuhudia kila kinachoendelea lakini unaweza ukaja humu jamvini ukasoma vitu ukabaki kujiuliza hawa watu wanaizungumzia hii arumeru niliyopo au kuna arumeru nyingine.
 
sasa kama we umekaa huko si ulete taarifa za kweli sio kubisha tu bila taarifa mbadala.!!
 
Hiyo yote ni tisa lakini la Sioi kutokuwepo kwenye daftari la wapiga kura Arumeru kama ni kweli basi itakuwa kituko cha kufungua mwaka huu.

yale yale Dr shein na zanzibar! ina maana asiyeoa sio mmeru mpaka hayupo kati ya wapiga kura?je kama hana haki ya kupiga kura inawezekanaje akawa na haki ya kupigiwa kura?utapeli,utapeli!
 
yale yale Dr shein na zanzibar! ina maana asiyeoa sio mmeru mpaka hayupo kati ya wapiga kura?je kama hana haki ya kupiga kura inawezekanaje akawa na haki ya kupigiwa kura?utapeli,utapeli!

correct

unawezaje ukataka kuwaongoza watu kwa kukuchagua wakati wewe hujajichagua mwenyewe kwanza

fooling the fools
 
Leo katika jitiada za kupunguza asilimia za joshua kushinda sioi amejichanganya tena kwa kusema kuwa anafahamu vijiji vya arumeru vyote 74 wakati ni 86 maskini ya mungu atumie ile karatasi yake aangalie mambo yalivyo hajui vijiji viko vingapi

baridi barafu
Uzushi mtupu CCM tunaendelea kufanya vizuri Arumeru na ushindi ni lazima
 
Nilimsikia nikamshangaa..nikaona labda alikuwa amepata data za H'shauri yake,akaamua kucrame!
 
Mwigulu kataza huyu bubu kwenye MDAHALO, atatia aibu taifa,CCM kwisha habari yake, u'a badly demaged beyong repairs, Mkapa kawaingiza choo cha kike, Wassira kawaingiza choo cha Manyani ngojeni mkabakwe
 
Bora angegombea Pamela Lowasa kidogo angeleta ushindani.
 
Tatizo sisi humu sio wapiga kura, na 70% ya wanaohudhuria mihadhara sio wapiga kura....
 
hili tatizo la kukosea kosea linawaumiza wengi sana ndani ya magamba...kuna sik alitaja arumeru magharibi badala ya arumeru mashariki.....kile wananchompa kuzungumza hakisemi na hata akisema lazima akosee
 
Back
Top Bottom