Jamani leo Ijumaa bata wapi

mimi nitakuwa governors sasa wewe ulifika pale jaribu kupapasa macho ukiona kuna mtu amepanga kreti za castle lite urefu wake ujue ndio mimi

njoo uninong'oneze mimi ndio vivian wa Jf hakikisha wengine hawasikii
 
Mashostito na Masela ni kiwanja kipi kinabamba kwa leo hasa maeneo ya kinondoni. Fourways Park nimeshapachoka hata governors nimeshapachoka.

Papichulo nehii, Break-point pale napo nimepachoka.

Mbali na hizo hapo Juu waungwana wapi panabamba siku za Ijumaa
Mleta Mada kitambo sana upo ? Tips si pabaya kwa kuanzia
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom