Jamani kwani hatuwezi kumtoa jaji mkuu tumuweke mpya wa kike?

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Wananchi tukiwa tayari mwaka huu tuwasaidie wanawake wakamilishe mapinduzi yao katika madaraka kwani uspika ndo huoooooooooo na wakaze kushinikiza jaji mkuu akiondoka mwakani basi na kti hicho wachukue pia na majeshini nako walilie kazi za upendeleo wasililie kazi nyeti tuu. wajumbe mnaonaje harakati zao?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom