Wananchi tukiwa tayari mwaka huu tuwasaidie wanawake wakamilishe mapinduzi yao katika madaraka kwani uspika ndo huoooooooooo na wakaze kushinikiza jaji mkuu akiondoka mwakani basi na kti hicho wachukue pia na majeshini nako walilie kazi za upendeleo wasililie kazi nyeti tuu. wajumbe mnaonaje harakati zao?