Jamani..kwa Rostam vipi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani..kwa Rostam vipi??

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by sijui nini, Nov 1, 2010.

 1. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,336
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  naona kimya... huko!!
   
 2. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Rostam anelekea kushinda maana ameshashinda more tha 70% ya kata zote
   
 3. Masaki

  Masaki JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,465
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Kwa Rostam kusema ukweli, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, wananchi wake wanampenda.
   
 4. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,394
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Habari ambazo siyo rasmi, CUF wamemwangusha Rostam
   
 5. m

  mpongopongo Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hali ya rostam kwa igunga mjini sio nzuri chadema imechukua udiwani igunga mjini kwa matokeo yaliothibitishwa, mgombea wa ubunge CUF anaongoza kwa kata ya mjini
   
 6. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,336
  Likes Received: 230
  Trophy Points: 160
  tusubir updates zaidi...!!
   
Loading...