Jamani kwa nini sisi watanzania kama nchi tunajivunia kukopa?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,349
6,476
Kuwait yaipatia Tanzania mkopo nafuu wa ujenzi wa barabara mkoani Tabora

:: Kuwait Yaipatia Tanzania Mkopo Nafuu Wa Ujenzi Wa Barabara Mkoani Tabora
mpango.jpg

Benki ya AFDB yaikopesha Tanzania sh. bilioni 360 ili kuimarisha nishati na kilimo. Kutunisha general budget/ basket USD 70 million (TSh. 154 bil.).

Ni lini tutafikia hatua ya kutokukopa na wala kukopesha yaani ili kuanza kutafuta break-even point ya matunda ya uhuru? Kwa sababu haya tuyaonayo na kuyasikia sidhani kama ni matunda ya uhuru kwa sababu waliotukopesha wakiamua kuchukua pesa yao kesho tarehe 22 Dec 2016 tutakuwa hoi kupita maelezo.

Mtoto akizaliwa maternity hutoa kadi ya maelekezo ya kumpatia chackula tofauti tofauti vyenye states tofauti kadiri akuwavyo. Ukimpa chakula cha miaka miwili kipindi chote ukuwaji wa mtoto unakuwa mbovu na atashindwa kuingia kwenye stages kama za kukaa, kusimama, na kutembea kama mtoto mdogo aliekosa lishe? Kwa kifupi anadumaa. Kwa hali yetu ya kukopa tuuuu sio kuwa tumekwisha lemazwa na imekuwa kama ni culture yetu? Jamani tusugue akili zetu tuondokane na hali hii kama nchi. la sivyo we are crippled! tupo kwenye wheelchair jamani.
 
Hao wanaokupaga msaada tangu uzaliwe nao wana mikopo lukuki. Hata wanaowakopesha wao wana mikopo pia. Na hata wewe bila mkopo utakufa masikini. Sio mkopo kama mkopo. Mkopo ufanye uzalishaji au kuweka miundombinu.
 
Back
Top Bottom