Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,800
- 59,267
Miezi kama miwili hivi iliyopita mzee mmoja jirani kajulikana kua amekua akimchezea(mchezo mchafu) mtoto wake wakumzaa.
Amekua akimfanyia hivyo since she was 7 and the worst part ni kwamba kamtia mimba mwanae wa miaka 12.Imagine mtoto kumzalia baba yake mtoto!!!!!!
Hiki kitu kimenifanya nikafikiria sana kuhusu mahusiano kati ya wazazi na watoto wao.(Kama huyu naona kaamua kumpenda mwanae all the way)hehheh jokes aside......!Jiulize huyu mzee kamfundisha nini mwanae,unaweza kupata picha huyu mtoto anaweza kuwa mwanamke wa aina gani hapo baadae??Sidhani kama atastahili lawama iwapo atawachukia wanaume maisha yake yote!!Na sio kama namaanisha kua wanaume wote wanastahili adhabu yakuchukiwa na huyu binti kwa kosa alilofanya baba yake no,ila anayo haki yakuwaona wote ni wanyama coz ndo picha atakayoishi nayo for the rest of her days.
Wewe kama mzazi ndiye unayemtengenezea mwanao picha ya jinsi ambavyo ungependa awe mwaishani mwake.Kila unachokifanya ambacho mwanao anakisikia ama kukiona kina uwezo wakumwathiri iwe kwa uzuri au kwa ubaya.Tukana hovyo na yeye ataona ni sawa(atleast UDOGONI...kipindi ambacho anafuata na kusikiliza maelezo yako karibu yote).
Newayz mwisho wa yote ni kwamba avoid tabia ambazo sio nzuri mbele ya watoto.Na kubwa zaidi WAONYESHE UNAWAPENDA maana hicho bado ni kitendawawili kwa watu wengi.Kuwapenda mnawapenda ila kuwaonyesha ndo inakua ngumu.Pay attention to them,just as much as you are demanding from your partners.Na tabia ya kunyanyasa au kuwatreat watoto ambao sio wetu(awe wa ndugu au la)TUACHE.Nyanyasa wa mwenzio na wewe uje kunyanyasiwa.