Jamani kuuliza si ujinga.

Onguluo

JF-Expert Member
Aug 4, 2013
406
115
WanaJf naomba kuelekezwa mahala palipo ofisi ya mbuge wa Monduli, Mh.E.Lowassa kwa hapa Dar. Pia sehemu ilipo Benki ya uwekezaji Tanz. (TIB) kwa dsm.
Nitashukuru sana.
 
Bank ya TIB iko mlimani City.Ofisi ya mbunge watakujibu wengine
 
Back
Top Bottom