Jamani kuna Watu wanamiguu MIBAYA mpaka viatu vinawakimbia Khaaaa

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
577801_171474586332605_1796766121_n.jpg


10-famous-women-with-ugly-feet01.jpg
 
Kwani huyo mwenye kiatu cha pink, kidole kimoja kimetokezea kwa juu ya kiatu?
 
Maisha ya kukimbizana na mbigili pekupeku kwa 20% ya maisha yetu. Tukuanzisha shindano la m-TZ mwenye kucha na vidole vizuri miguuni nafikiri kwenye watu 10 tutapata 2.
 
LOL.., kweli wana miguu/unyayo mbaya.
Huyo aliyevaa viatu vyeusi vya kamba utadhania ndio mara yake ya kwanza kuvaa viatu!
Namshuri avae vya kutumbukiza ili kuficha vidole vyake kama viazi vitamu!
 
Huyu mwenye pink kavaa sivyo,

Mwenye pink viatu vyote ni vya mguu wa kushoto. inawezekana begi lililoleta hivyo viatu liliibiwa aiport. Si unajua wafanya biashara wanaweka viatu vya kushoto begi moja na viatu vya kulia begi lingine, ili mwizi akiiba pia iwe imekula kwake.
 
Mbuzi mbuzi utaua bendi maana mbavu zangu zinauma kwa utukutu wako. Ila I doff for your creativity and entertainment. Siyo kama wale waganga njaa na waganga wa kienyeji wanaotuletea graphic photos. God award you my pet mbuzi mzee.
 
Mbuzi mbuzi utaua bendi maana mbavu zangu zinauma kwa utukutu wako. Ila I doff for your creativity and entertainment. Siyo kama wale waganga njaa na waganga wa kienyeji wanaotuletea graphic photos. God award you my pet mbuzi mzee.

Heshimu kila mtu JF sio ya mtu mmoja pekee
 
hahhhahhahha mie yangu ndio balaa,nina nundu kny dole gumba.nimegundua wengi tunalo hilo nundu sababu ya kuvaa viatu vinavyotubana,:becky:
 
Wanaume wengi tulioa hatuta comment hapa dhamiri zitatusuta kwa sababu tunajua miguu ya wake zetu. Bora tuwe Kimya
 
sioni tatizo la hiyo miguu,infact,mi siangalii mambo yenu ya pedicure and manicure,..if the head is right,nyabhingi is there every night
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom