Jamani kuna Watu wanamiguu MIBAYA mpaka viatu vinawakimbia Khaaaa

Hii kali, vidole vimekomaa utafikiri Tangawizi!

10-famous-women-with-ugly-feet01.jpg
 
Kuna demu nilimuona yani sura nzuri body nzuri kweli ila kucheck mguu yani una magaga kibao nikajiuliza wao wanaangalia sura na nguo tu ila miguu hawaijali kabisa!
 
Uumbaji ni wa Mungu tukianza kuchunguzana mwili mzima hapa kila mtu ana kasoro kibao, tena nyingine za siri kubwa

Word.

Ingekuwa kila binadamu anajiumba mwenyewe, nina hakika shingo zote, yes zote, duniani zingefungwa supports coz dunia ingefanana na mbuga nzuri ya binadamu......Na kila mtu akifika nyumbani kwake mwisho wa siku angekanda shingo hiyo kwa maji manake kazi ya kufuatilia kuangalia kila kizuri kipitacho isingekuwa ndogo ati...
 
Ndo maana kuna usemi unasema........... ASIYEUMBA HAUMBUI.
 
Watu wengine bana, we mshukuru Mungu kama ulizaliwa uko ok, sidhani kama mtu huchagua aweje

Mkuu kweli kabisa sasa kuna wengine hawana miguu kabisa maana hata kwenye ubaya hawapo, bora ni kumshukuru mungu tuu
sasa huyu mbuzi mzee kesha wahi kuumba kitu chochote ?
hii inaonyesha dharau kubwa sana kwa muumba wetu bora atubu tuu dhambi zake
 
hapa mandogo unalipa sema unaunesha mnene kiasi

Asante kwa compliments, ubarikiwe!!! Mimi ni mnene kiasi (kilo 80); lakini kwa urefu wangu (180 cm), nina body mass index ya 24.7 ambayo inashiria kuwa niko normal (siyo under weight au over weight). Ila tu tuseme kwa asili yetu tumejaliwa miguu mizuri, tunamshukuru bibi yetu aliturithisha umbile zuri na miguu mizuri.
 
Back
Top Bottom