Jamani kuna Watu wana ' Dharau ' halafu wanajua sana ' Kuwatukana ' wengine ‘ Kidiplomasia ‘ hapa duniani

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,791
@godless_lema

Tumefanya mazungumzo na Jeshi la Polisi,mikutano yetu itaendelea kama kawaida.Pia kutokana na kuzorota kwa zoezi la uandikishaji nimewataka wasimamizi wa Uchaguzi niwasaidie magari matano ya matangazo,waweke nembo zao au za ccm ili mradi Wananchi watangaziwe.

Mnawachokoza wenyewe wakijibu Mapigo msianze Kulialia na Kutafuta Huruma humu Mitandaoni sawa?
 
Subpost 3 - Tumewaita kwa masaa matatu tu,pamoja na vitisho,kukamatwa DJ na Drev ( 640 X 640 ).jpg
 
Mtakipata mnachokitafuta uongozi si kujimwafay
Maneno ya mtu aliekata tamaa hayo
Tundu lissu mwenyewe amesema harudi,hilo jina kwenye ballot paper litaingiaje?
Wakati mwingine huwa mnajitoa fahamu kwa kiwango cha kupitiliza mpaka mnaonekana kama chekechea
 
@godless_lema

Tumefanya mazungumzo na Jeshi la Polisi,mikutano yetu itaendelea kama kawaida.Pia kutokana na kuzorota kwa zoezi la uandikishaji nimewataka wasimamizi wa Uchaguzi niwasaidie magari matano ya matangazo,waweke nembo zao au za ccm ili mradi Wananchi watangaziwe.

Mnawachokoza wenyewe wakijibu Mapigo msianze Kulialia na Kutafuta Huruma humu Mitandaoni sawa?
Kwel kabxa
 
Wanata tujiandikishe wakati wanasema atakayetangaza mshindi tofauti na mtu wa chama chao atakiona cha moto.
Muandikishaji kaweka kijiwe chake kwenye kimvuli cha mti wa nyumbani kwangu , kila nikitoka najiuliza sijui nimbutue 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom