Jamani kuna majukwaa hakuna michango kama haya majukwaa ya......

PSYCHOLOGY

Senior Member
Feb 10, 2011
177
14
Habari JF.

Nmechunguza sana mpaka nimeamua kueleza hisia zangu hapa hapa ...

Jukwaa gani ukituma mada hukaa mda mrefu hadi ikapotea bila kupata majib au michango mbali mbali?

Tafauti na haya Habari na hoja M. MMU na ........
 
Majukwaa yote yapo active japokuwa siasa na MMU yanaongoza kwa watu kuingia na kuchnagia ukiachilia mtoa hoja anavyoiweka thread yake. Kuna baadhi ya waweka thread hawazifanyi thread zao zivutie au wakianzisha hupotea kabisa na kupoteza mvuto au ufafanuzi inapobidi.
 
Nadhani jukwaa huwachangiwa zaidi pale mleta mafa anapokuwa ametoa maelezo ya kutosha. Hivyo sina hakika kama kuna majukwaa hayachangiwi.
 
Sijui chochote, hata swali sijalielewa. Naomba nisichangie chochote. Wasalamu.
 
..Kuna Kuchangia mada kwa Kuangalia Jina la mleta thread..ninaweza kuthibitisha hili..ofcoz kwa upande mwingine kama thread yako inajieleza vizuri naona pia watu wanachangia..
 
mi naona watu wanaamua wasome thread hii kwa kuwa kaweka fulani, yakwako kama vipi wanakupotezea tu.
Naam!
Hiyo hali hutokea baadhi ya jukwaa.
Jukwaa la Sheria na jukwaa la lugha unaweza weka mada akapotea bila kukuta michango!
Wakt mwingine najiuliza au kuna namna ya mtu mmoja akawa na zaid ya ID tatu?
 
kila jukwwaa lina watu wake

majukwaa kama international na tech and gadgets yana watu wao huwaoni kwingine

halafu jukwaa la jf doctors lina watu wake pia....
 
mfano mmoja wa haraka mimi sijawahi kumwona the boss akichangia thread yangu.
 
kwenye jukwaa la mapenzi kuna dada/mama hakosi huko .

Kwenye jukwaa la dini kuna jamaa wanne hata ukikuta ID ni tafauti lakin kuna mlngano wa matamko.

Kwenye siasa humo usiseme....

Hata kama kila jukwaa lina watu wake...suali liloulizwa....mbona maswali ukiuliza hayajibiwi?
 
Back
Top Bottom