Jamani Kipindi cha Maigizo bado??

Ebwana wakuu, hicho kikundi cha Maigizo cha CCM mbele ya kiongozi wao, Kikwete akijaanza kuigiza hapo Diamond?? waliokalibu tupeni leo kaja na igizo gani tena, maana naona maigizo yao hata joti na mpoki hawafikii

Huyu hakufaa kuwa president alitakiwa akajiunge na wasanii wa maigizo wa vikundi mbalimbali, anaweza sana sanaa na usanii

wadanganyika walijua hili lakini wakawa kichwa ngumu wacha waone wenyewe LIVE
 
wadanganyika walijua hili lakini wakawa kichwa ngumu wacha waone wenyewe LIVE

See!!! But they were told ila seems like wadanganyika wengi wanautumia msemo wa "better the devil you know than an angel you don't know"
Kwa mwendo wa ze-comedy hii we stand to alot of sour-prizes (surprises)!
 
Maigizo na Ngonjera mmejionea wenyewe,Ziheshimuni kura zenu 2010.
Inabidi tuonyeshe kuwa tumechoka na usanii wa sisiem
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom