Jamani kazi nimepata tena, tea boy kwenye office

unaweza kutaja ni shoga hili, linatafuta Kiki,maana mara anasema anapika wali Nazi,mara anahudumia maboss chai,yaani mtoto wa kiume anamaelezo ya kishoga shoga ......ila nisamehe Sanaa kama nimekukwaza
 
Acha kuwa na mawazo hasi, kwa binadamu mwenzio
 
hiyo kazi ina marupurupu, hukosi chupa mbili za chai kupeleka home daily! usisahau vitafunwa vitakavyobakizwa. Ukiifanya vizuri unafungua kikafe kwenye kichochoro cha mtaa wako!
 
unaweza kutaja ni shoga hili, linatafuta Kiki,maana mara anasema anapika wali Nazi,mara anahudumia maboss chai,yaani mtoto wa kiume anamaelezo ya kishoga shoga ......ila nisamehe Sanaa kama nimekukwaza
kumbe chereko
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom