Jamani Kazi Hii Inalipa,Lakini Ni Pasua Kichwa.... Basi Tu...!!

Kuna kazi inafanyika kule mitaa ya Ohio !
I n a l i p a vizuri sana ! Na hasa ukiliotea gepu la kupata Foreigner customers.
But ukiwapata wa hanohano, pasua kichwa kwelikweli !
Unakuta sometyms mteja keshautwika kakulipa alafu hataki kuvaa mfuko ! Anataka finyango kw finyango !
Ukimrudishia mkwanja wake hataki kupokea !
Kazi hii hufanyika bila stress ukiipeleka Dom Bunge likiwa kikaoni.

Wacha bana...

Sema kazi hiyo ina shida kadhaa nayo:-
1. Ukipata mteja anayenuka sana mdomo(halitosis)
-au kanywa mibia,na anavuta misigara,basi huo mkorogo kero yake sasa..
2. Wanatumia(si wote) maviagra,au vitu kama hivyo na hivyo kumletea matatizo mtoa huduma..hata kama ni usiku mmoja lakini rounds zake hiyo kesho haitafika kabla hujaitiwa ambulance na ikibidi kulazwa kabisa..,
3. Kupatana na mtu mmoja na dau kuuubwa,ukiingia hotelini tu unakuta kumbe ni room ya double na kuna njemba nyingine inawapokea kwa furaha... Lazima ujue leo hapa kazi ipo..
 
Sema hiyo Judgement...

Si kazi rasmi... Ama sekta rasmi... Fikiria nyingine:
 
Dah design kama mmeniacha hivi manake kiswahili mlicho2mia ndo cha hakunaga.
 
Mmh hiyo ya Tume ni kazi kwelikweli maana kutangaza hata ambao hawajashinda kihalali unahitaji ujasiri mkubwa tena sana

Jaji KIVUITU - wa tume ya uchaguzi kenya 2007. Alisema hajui hata yeye matokeo aliyotangaza yalitoka wapi.
 
Kongosho haendi sokoni, gengeni kunamtosha na khanga yake moja kifuani, nyongeza ni guarantee. Akinunua karoti moja anaongezwa hoho moja, ndimu moja na tango/pilipili 2

King'asti ! Hapo kwenye TANGO hapo duuh !
Sijaelewaelewa !
Eti nini vile unasema Kongosho anaongezwa ? Hebu rudia !
 
Kazi za ndan kwa wados,ni kutumwa kutwa nzima na matuc ya kutosha!

Halafu wanaongea kama wanabana pua vile.. Juma wao ni kama vile wanatamka ...."Nyumaa"...

Halafu kama jina lako gumu mfano Deus,au Fortunata,atakupa lake... ..."Mi taita hiyohiyo...Aliii..." au.... "Sakinaa..."

Ndiyo zao...
 
Umesahau:
unavaa utakacho
Unamicha chenchi za sokoni
Unalala utakapo
Umbea bila kipimio
Kuoga asubuhi sio lazma

Kumicha chenchi sasa nako ni tatizo..
Maana bado unaingia kucheza mara mchezo wa buku kila siku,mara mchezo wa buku mbilimbili kila siku hata idadi ya watu haijulikani..mchezo umeanzia Manzese,hadi Sinza unafika..!

Bado hayajapitishwa mashuka ya kukopesha,mara vijana wa urembo..
 
Kongosho haendi sokoni, gengeni kunamtosha na khanga yake moja kifuani, nyongeza ni guarantee. Akinunua karoti moja anaongezwa hoho moja, ndimu moja na tango/pilipili 2

We King'asti please..
Sasa muuza genge kumbe ndiye mwenye stressful job... Maana apande basi hadi K'koo,anunue bidhaa,azilipie usafiri na yeye mwenyewe hadi kituo cha biashara yake,hapo nako akodi guta hadi sehemu yake ya biashara..

Haya sasa,waje kina Kongosho na khanga moko,na wamevaa malapa,mwili unakagulika...mh.. Haya..
 
Back
Top Bottom