Jamani karibuni

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,885
Na funga ndoa na mwanajami forum miezi ya karibuni. Njoo mishuhudie hatimae kijana anafungwa mazima. Intake.

Humu alitokea jamaa akasema ni PM . Kuongea mbili tatu akanipa ndugu yake. Kuyajenga kidogo hapa tuna 3 years kwenye mahusiano .
Naleo ndio ninapanga harusi mabele. So karibuni hapa Jamii Forums tusherekee . Unique flower. Amepata nyuki.
 
Hongera mkuu..... Mungu azid kukupa moyo wa uvimilivu na subra

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom