Jamani kaka yangu kazidi, naombeni mbinu za kumshikisha adabu

Vumilia ndugu yangu, Tatizo la hapa JF sijui kitu gani wao
wanaona ni sahihi kushauri. Kama hilo kuna ambao wana
kulaumu kwanini umelileta hapa lakini kiukweli uko sahihi
kwani hili si jukwaa la siasa ni mahusiano, halafu kingine
wengi wanashindwa kujua kuwa tuko watu wa rika tofauti
hapa kuna ambao wameolewa wana miaka 18 hawa wana
matatizo yao na kuna wa miaka 45 kama hili lako kwao si
tatizo.
Jamani mshaurini huyo binti ni mdogo wenu!
 
Vumilia ndugu yangu, Tatizo la hapa JF sijui kitu gani wao
wanaona ni sahihi kushauri. Kama hilo kuna ambao wana
kulaumu kwanini umelileta hapa lakini kiukweli uko sahihi
kwani hili si jukwaa la siasa ni mahusiano, halafu kingine
wengi wanashindwa kujua kuwa tuko watu wa rika tofauti
hapa kuna ambao wameolewa wana miaka 18 hawa wana
matatizo yao na kuna wa miaka 45 kama hili lako kwao si
tatizo.
Jamani mshaurini huyo binti ni mdogo wenu!

Mkuu anatakiwa aachane na hilo jikaka ni mbegu ya Al-shabab hiyo!
 
Kama umedhamiria kweli kumtosa Kaka yako basi kata mawasiliano naye, hakikisha hajui chochote kuhusu issue zako na familia yako, na wewe usitake kujua linalomhusu, kata mawasiliano ya simu n.k, kifupi mfungie vioo.
 
Heehee kweli dunia ina mambo!! Yani naogopa hata kukupa mbinu za kisasa kama unavyotaka maana nilizonazo ni za hatari zaidi kwake na kwako!
Oky hebu ni PM
 
teh teh kaka jamani kaka acha umbea dada yako anakuasa.watakani kwenye ndoa ya dadako wewe???eeh pole saaana lonley heart cha msingi deal na ndoa yako.kaka lako lipotezee.iko siku litavishwa sketi mtaani hilo
 
kiukweli mtu hawezi vunja mahusiano YA UKWELI ya wapendanao, unless kuna Usanii, au Ubabaishaji au Ku-ungaunga kati ya 'wapendanao'
 
Kaka yako kaenda kumuona mume wako na kumshawishi akuache. na wewe on the other hand umeingia JF kumuanzishia thread. umesema ni mbea na mjehuri na unaomba ushauri wa kumkomesha.
Mi naona kama
1. hakuna kabisa upendo kati yenu
2. Kuna kitu ulifanya kaka yako akaona, ukajaribu kumbembeleza akakataa, ukamuona mjehuri
3. akakipeleka kwa mumeo ndio maana unamuona mbeya
Kwa hali hii, sitoi ushahuri wowote until tupewe full data, or none.
 
ukituliza brain utagundua 'Kaka Mmbea' labda anatumika kama kisingizio cha watu kuhalalisha kushindwa, ama ktk uaminifu, au cheating. Ukiwa MNYOOFU umbea hauna nguvu, kwa lipi?
 
kila kitu kina mwanzo na sababu ya msingi hebu tuambie wewe na kaka yako mkoje??
 
Mpe za uso tu,kwa upole na heshima na umuambie damu nzito kuliko na maji. Na hela na umaarufu vinapita ila undugu unakuwepo tu. Muombe muwekeane heshima na asijishughulishe na issues zako unless umemuomba ushiriki wake.usiongee nae kwa kumsuta wala usitafute ushahidi. Wanasema sometimes u need to shut up in order to be heard.
 
Kaka ameshutumiwa sana!Lakini wakati tunashauri tukumbuke shilingi ina pande mbilli waungwana.Tumeambiwa matatizo lukuki ya kaka lakini hatujui kabisa matatizo ya dada<kama yapo>.Mimi nashindwa kushauri kitu maana ningetamani kusikia toka kwa kaka jambo ambalo najua hapa jamvini halitawezekana.
 
Habarini wapendwa wana jf, jamani naombeni mnifundishe mbinu za aina yyt nitakazotumia kumshkisha adabu mana kazidi, 1. MMBEA yani akiskia kitu atakitangaza kila mtaa 2. ANAJISKIA na ANADHARAU sn huyu kaka ymg hakua na haka katabia lkn kapata vijisent kidogo anatudhau ndugu zk ile mbaya 3. kilichoniuma kuliko vyote ni nilipokosana na MUME WNG MAMBO YA KAWIDA 2 alipojua tu akaanza KUMCHOCHEA MUME WANGU ANIFUKZE, kitendo hiki kimenikera sn tn sn, PLEASE! PLEASE! NAOMBENI MNIPE MBINU ZA KISASA KUMKOMESHA.

Kwa nini umejiita lonely heart?
 
Back
Top Bottom