Jamani kabla ya kurudi ulizeni mpango wa ajira tanzania;msije laumu wazazi wenu kukosa ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kabla ya kurudi ulizeni mpango wa ajira tanzania;msije laumu wazazi wenu kukosa ajira

Discussion in 'Jamii Photos' started by Pdidy, Apr 14, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  mabinti hawa majuzi walikabidhiwa nondo walipomaliza elimu zao huko INDIA...kwa kweli nawapongeza bila kujali mmezipataje..siitaji kulinganisha uchafu unaofanyika UDSM na india maana sijafika na siijui binafsi nawapongeza muno ila kwa kuwa alert ni vyema mkapiga simu kuulizia swal la ajira tanzania kabla ya kupanda AirIndia kuja dar es salaam msije mkajutia kwanini mmerudi....

  [​IMG]
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  HAWA NAO WALIKUWEPO
  MMHHH WE DADA WA KATI UNAMLALIA MWENZIO HIVYO HATA PETE YA UCHUMBA AJAKUVALISHA AMA NDIO MAPENZI YA CHUONI...HAYA KILA LA KHERI MFIKE MBALI MSIISHIE KUEGEMEANA INDIA TU

  [​IMG]
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Huyu jamaa wa kulia alikuwa anasoma kweli mbona anaanza kuntisha na elimu ya uko..kitambi kakiachia akija vodacom si ndio balaa zaidi..haya kijana fanya mazoezi basi kabla ya visa kuisha ukisubiri kuja atleast upate mchumba wanawali wa bongo sikuhizi awataki mavitambi yanazuia naniino kuenjoy
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  wish u all nyce job msije kaa kwa wazazzi wenu mkajaza vyoo bila ajira...
  Be blessed
   
 5. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  baeleze maana wengi hudhani wakimaliza kazi ni nje nje.kuna jamaa yangu mmoja alikuwa anasoma nje aliovomaliza akadhani maisha tayari ni mtelezo akaamua kuchukua mke kabisa huko huko mara alivotia timu Dar mambo yakawa kinyume mara akakimbia hapo kwa majirani kenya na sijui anafanya isue gani. kwahiyo kaka Pd unachosema ni kweli.
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Mkuu mark
  Yaani ninaawaasa maana nina kaka wa damu yuko uko uko kenya mpaka nacheka ..wakati akirudi nkamshauri sana sana asikilizie uko akadai tanzania akuna ma proffessional kama yeye alikaa pale hme kama mshauri wa wazazi kwa miezi sita kabla ya mimi kuanza kukimbizana na website kupata post moja wakamwambia aende interview mpaka leo yaan wanakuwa wamechanganyikiwa hata salamu mpaka asikie kenya wanapigana ....nimefurah kuona wenzangu niliosoma nao nikajua wako kjijini kumbe wanakula nondo kwenye mapilipili..inshallah nawakarbisha lakn kwa tahadhari ....ni vyema waone kabla ya kulalamika..
   
 7. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 567
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Batoto ba dar ....si mchezo...wanarudi lini...nitawapokea airport wajameni!!1
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  wanasubiri visa ikaribie kuisha mpwa we jiandae tu niko na email na wachache twaweza pata kilichotoka kwa Mungu maana wanaume sie kila mwanamke huyuu ndio ameletwa na Mungu ..haya angalien tusibebe mizimu majumban..jamaa yangu juzi alikuwa anatoa wasaa na kuwashairi watu wawe makini wasikimbilie kila mwanamke katoka kwa mungu;alipoulizwa akasema aliwah kuoa akajua huyu ameletwa mara gafla alichokutana nacho anasema kila usiku mwanamke anapia makelle nkamuuliza labda anakoroma akasema yaan makelele na waakati mwingine anajiusugua na godoro kama anafanya mapenzi na mtu nkamwambia umeibiwa pole sana ...akaachana nae so hawa sio wakukimbilia kwanza unajua mpa kama unataka ndoa ukiomba kweli na kuacha yale maovu yetu ukosi nakwambia..tena mwambie mungu akinipenda asietoka kwa Mungu nikimbie kabisa nakwambia utakimbiwa na visura .kuna jamaa alimwomba mch mwkasege hii n live nakwambia..ampe mke mwema anataka kuoa..jamaa akamwamabia nakushauri m siombi tu mke mwema naomba na kusudio la Mungu liwe kwake akashauri kwa mambombi haya asishangae anaemfikiria ama kumpend a akaachana nae..jamaa ni mwezi mmoja kumbe a likuwa na zigo moja analipenda na wamepanga kuoana asimkimbie jamaa akawa chizi na kuomba likizo ya mwezi so maombi sio mchezo kwenye haya madubwasha mpa else Kilio maisha yako yote/
   
 9. Lisa Rina

  Lisa Rina JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 1,771
  Likes Received: 2,043
  Trophy Points: 280
  So wts the point..pumbaful thread!
   
 10. M

  Mr.Mak JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 2,635
  Likes Received: 496
  Trophy Points: 180
  mrembo watu wanapewa tahadhari. ili wasijichanganye, kwani wengi wakisha kaa nje hujisahau hali ya nyumbani na kudhani mambo yapo safiiiiiiiiiiiii kumbe after school mchakato wa kusaka kazi sio mdogo,madadaz wengine huwahi kupata kwa vile wanapoingia interview wanaenda na two image, mabosi wengine wanawapa kazi baada ya kuwa do, ama makaka zangu ambao huwa ni maprofesion kama hana jina atasota sana.
   
 11. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kwani huko waliko ndiko kwenye ajira? Tuache mawazo mgando.
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,495
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Lisa unaonekana hata mama yako na babako unawatukana ovyo sana kwanza embu jirkebishe na kanguo chako atuitaji mapaja mfu jf....rekebisha avator yako sio bungen hapa ama nikutafutiemarket bungen??
   
 13. M-bongotz

  M-bongotz JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,732
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hebu muulize...
   
 14. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  huyu mtoto aliyevaa RED...................
   
 15. luckyperc

  luckyperc JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 496
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  baba zao wote ni wakurugenzi wa mashirika unafikiri na kama ww kabwela
   
 16. s

  samvande2002 JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2011
  Joined: Mar 6, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  hapa ni india?

  duh..kaaazi kweli kweli
   
 17. l

  lokiyo JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,156
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  all da bst aj
   
 18. l

  lokiyo JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,156
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  Aj..bst wishes
   
 19. FuturePresident

  FuturePresident JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 322
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  Jamani Lisa mhnn...avatar yako jamani mmmhhh...we acha tuu!!!!!!
   
 20. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  unatua lini aisee?

  umegraduate

  heheheheheheheheheeeeeeee
   
Loading...